lastBorn raY
Member
- Apr 18, 2023
- 19
- 47
Nahitaji criminal report na sijui wapi inatolewa au ni utaratibu gani wa kufata ili niipate.
Naombeni kufahamishwa nimekwama
Naombeni kufahamishwa nimekwama
pcc.tpf.go.tz
Uki nyoosha mkono siku hiyo hiyo unaipata.bila hivyo uta ambiwa baada ya wiki 1Je ,nikisha maliza maombi ndo naipata hapo hapo au inakuaje tena, inachukua muda gani