SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
Njoo hapa Tandale Kwamtogole
Waliopakua app hii ukweli ni upi.Shusha app hii
unalipia elf 2 kwa mwezi kwa mpesa/tigo/airtel,
mechi ni takribani mb 500
Wakikujibu nitaqWaliopakua app hii ukweli ni upi.
Tusije pigwa na kitu kizito
Sehem aliyopo Westlands hakuna vinaenda umeiza huko kumejaa malls za biashara na matajir wanainjoy hela zaoNenda Playstore au Appstore Download APP ya Azam Max, kisha lipia eflu 2, unafurahia game
Pia kenya kuna Ving'amuzi vya Azam TV, tafuta eneo lenye icho kisimbuzi wakuwekee game