Wapi linapatikana soko la chia seed kwa hapa Dar na mikoani

Jaman natafuta soko kwa mtu alie Dar
Namuuzia chia kwa kujumla yeye anazifanyia package anauza rejareja.
Nataka kuanza biashara kwa ambaye yuko tayari ani tafute kwa namba...0743612403(massage/whatsap)
 
Napenda kuwataarifa wanajamii forum kuwa ninazo chia zenye ubora na ambazo zimeandaliwa kwa matumizi ya binadamu,Napatikana kwa namba hii 0622 296251.Nipigie au niwekee sms nitakujibu.Karibu tufanye biashara.Ofa kubwa ukichukua kuanzia kilo 100 nitakuuzia kwa Tsh 8,000.tu.
 
CHIA ni kitu gani?,tuwekee na kapicha tupate mwanga zaidi juu ya hii kitu
 
Hii ndo chia,picha yake hiyo
.facebook_1541317558067.jpeg
 
Chia ndo jina lake kwa lugha zote,hii ni nafaka.ukiitafasiri manake nguvu jina limetokana na lugha za Amerika ya kusini,zao hili walilitumia wanamichezo tangu enzi mpaka leo pia huwapa watoto wadogo wa miaka 3 ili kuwapa nguvu na kuwaongezea uwezo wa kufikiri na kuboresha kumbukumbu,ila zaidi ina virutubisho vingi sana,kupunguza hadhari za kisukari na presha,kuongeza CD 4, N.k
 
Matumizi yake yakoje mkuu? unaisaga inakua unga au unaitumiaje?
 
Unasaga kwa blender,kunywa vijiko 2 kutwa waweza kuweka kwenye maji,uji,supu,juisi na chakula chochote kile.
 
Chia ndo jina lake kwa lugha zote,hii ni nafaka.ukiitafasiri manake nguvu jina limetokana na lugha za Amerika ya kusini,zao hili walilitumia wanamichezo tangu enzi mpaka leo pia huwapa watoto wadogo wa miaka 3 ili kuwapa nguvu na kuwaongezea uwezo wa kufikiri na kuboresha kumbukumbu,ila zaidi ina virutubisho vingi sana,kupunguza hadhari za kisukari na presha,kuongeza CD 4, N.k
umesahau kuweka 'inaongeza nguvu za kiume'
 
Back
Top Bottom