Wapi linapatikana soko la chia seed kwa hapa Dar na mikoani

Habari zenu wadau natafta soko la mbegu za chia na bei zake, mwenye kujua wanaponunua kwa bei ya Jumla,mimi nipo Dar,asanteni
 
Nahitaji chia seed kwa wale wanaofanya free delivary nipo dar Boko 0625531458 nichek tufanye biashara
 
Back
Top Bottom