Wapi linapatikana soko la chia seed kwa hapa Dar na mikoani

Napenda kuwataarifa wanajamii forum kuwa ninazo chia zenye ubora na ambazo zimeandaliwa kwa matumizi ya binadamu,Napatikana kwa namba hii 0622 296251.Nipigie au niwekee sms nitakujibu.Karibu tufanye biashara.Ofa kubwa ukichukua kuanzia kilo 100 nitakuuzia kwa Tsh 8,000.tu.
Naomba kujuzwa Chia ni nini,?
 
Google neno chia utajulishwa kiundani na kupata kujua faida zake
 
Wanajamii forum bado nazidi kutafuta soko la uhakika la zao hili la chia ambalo limekuwa muhimu na mbadala wa kusaidia watu wanaosumbuliwa na sukari,presha,uzito,kitambi,kuongeza nguvu mwilini na kuboresha kumbukumbu kwa rika zote N.k
Napatikana kwa simu namba hii 0622 296251 bei kwa kilo moja Tsh 12,000.kwa oda kubwa nitakufanyia discount.View attachment 923084
.facebook_1541483780549.jpeg
 
Habari za leo wanajamvi nauza mbegu za Chia kwa kiasi chochote unachotaka kuanzia nusu Kilo nakuendelea napatikana Dar Es Salaam ,Kimara kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga number 0788-318671.Na zilizosangwa zipo pia Ukitaka kujua faida za kutumia mbegu hizi unaweza kugoogle au tembelea link hii 11 Proven Health Benefits of Chia Seeds
 
Bado siku 10,toka leo hadi tarehe 30/11/2018 bei ya chia ni bado ileile kwa tsh 8000.kwa kilo kwa yule anayechukua mzigo kuanzia kilo 100.Nipo Bukoba- Kagera mawasiliano 0622 296251.Zingatia hii chini ya kilo mia (100) utauziwa tsh 12,000.,na kuanzia mwezi Desemba kilo itakuwa tsh.15,000.Ahsanteni.
20181110_104431.jpeg
20181110_105658.jpeg
20181110_105654.jpeg
20181118_125305.jpeg
20181119_115335.jpeg
 
Nafaka ipo kama ufuta au ulezi,kiboko ya presha na sukari.
 
Chia seeds ni nn ndugu, mbona utoi maelekezo ya kutosha unadhan watu wote wanajuwa? na kazi yake unaeleza ndo biashara za mitandaoni zilivyo.
 
mkuu unapaswa kujifunza namna namna ya kuweka tangazo hata mpegi wa bidhaa aifahamu '
Mfano jina la bidhaa,
maelezo ya bidhaa kwa ufupi
matumizi yake na faida zake
picha ka ulivyoweka
bei ka ulivyo weka
mawasiliano.
mahali bidhaa ilipo/inapatikana
maelezo ya ziada ka yapo, ni muhimu sana mkuu kujitahidimaana ndo nature ya tangazo la biashara hasa mitandaoni na kwingine kote
 
Back
Top Bottom