Halmashauri .
BoT, TRA, TPDC, NHC, TPA, NSSF, PSPF, GEPF, LAPF, PPF, TISS, PCCB, ETC
Kuna NGO hivi ya wamarekani iko mbeya inaitwa walter reed,wanalipa vizuri pia.fikiria office attendant analipwa 1.5M hao wengine ndo wanalamba mpaka 6M.
NGO nyingi wanalipa vizuri... Hiyo NGO si kwamba iko Mbeya tu hata Dar ipo....
Tpdc, tpa, sumatra,tanesco,tra,ewura,bot ni seniors tu,mashirika ya mafao. Mwisho kabisa ni serikali kuu kama walimu,halmashauri,wakaguzi wa serikali,polisi,tiss,nk.
Mishahara musuri inatolewa kwenye mashirika ya umma na mamlaka, tra iko serikali kuu ila wao wana nafuu ukijumlisha na rushwa wanakua na ahueni
kama sijakuelewa hivi