Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

Hello. UN wanaweka scales per ANNUM not per MONTH! United Nations Salaries, Allowances, Benefits and Job Classification. Ingia kwa hiyo link halafu click on salary. Hapo ndani utaona za international hire, local hire, general service etc.
Kurudi kwenye mada, hata kampuni za simu zinalipa vizuri ukiwa kwenye managerial na director positions. Most places senior leadership is paid well because they want to retain top talent. Same as banks. Wa chini wanalipwa makapi ila wajuu wanapata happy.
Mimi nilifanya kazi kwenye project ya world bank ambapo CEO wetu alikuwa anapata $43,000 per MONTH and 200,000 bonus per year. HERE IN TANZANIA!!! So kuna zingine mnaweza kudharau ila zinalipa kweli kweli.
Ila tukumbuke salaries ni jinsi tunavyo negotiate. Anza juu sana halafu hata wakikuleta chini bado unapata kitu kizuri.
Sasa rudini kazini kabla hamjakosa hata hicho mnachopata... au sivyo?? :A S 11:
 
Akina Ray, na wengineo ndio wanaolamba mkwanja wa ukweli...CEO wengi wanalamba kati ya 10m-15m kwa mwezi tena hao ni wale wanene hasa!😱hwell:
 
Mm naujua wangu tu ambao ni 1,689,000 kwa mwezi na mapato yote kwa miezi 7 niliyofanya kazi ktj hili shirika nina 38,000,000.
 
Sasa best ni nn chanzo cha taarifa zako kuhusu mzee wetu Slaa.hem tujuze ili akili zipanuke
 
Ypo makampuni mengi tu yanalipa vizuri hasa ya Kimarekani-including NGO zao Hawa jamaa hawana longolongo kwenye mishahara .Kinachoharibu ni hawa HR wetu wakibongo wanawafeed wrong information na kukuta unaajiriwa na upati kile walichopanga.Huyo aliyetaja AMREF si kweli kua wanalipa vizuri kwani watu wengi wameondoka huko kisa mshahara siyo mizuri na nina ushahidi
 
Ma TOP kwenye kampuni ndio wanaokula mikwanja mirefu nakumbuka mwaka 2004 hiv kampuni ya Kahama Mining Mkubwa wao mkanada alikuwa anachukua mil70 per month na alikuwa anakaa sheraton(Serena) na anafanya kazi Kahama......Sisi Boss wetu anakula mil 60 pm mie nakula 160,000/= pm
 
Ma TOP kwenye kampuni ndio wanaokula mikwanja mirefu nakumbuka mwaka 2004 hiv kampuni ya Kahama Mining Mkubwa wao mkanada alikuwa anachukua mil70 per month na alikuwa anakaa sheraton(Serena) na anafanya kazi Kahama......Sisi Boss wetu anakula mil 60 pm mie nakula 160,000/= pm
Hahahahahaha...mHiyo 160,000 wamekuzidishia sana cuz hufanyi kazi na muda wote upo hapa JF
 
Un mishahara yao ni wazi. Ingia mtandao wa internet angalia. Mishahara iko wazi. Huo ni uongo.
Ukiingia andika un salaries tanzania office.
 
This is the theory: Most guys who make big bucks in the US are the Wall Street fat cats (investment bankers, traders etc.). On average, these guys make more than seven figures (in USD). That being said, I'd expect the traders and investment bankers at DAR STOCK EXCHANGE to earn the same ridiculous $$$ or TZS just like their Wall Street counterparts. So forget about UN, WB, IMF, TIGO or VODA.
Just my thought

Dar hamna Stock Exchange, kuna mchezo wa kuigiza wa Stock Exchange.
 
yaani nikisikia mnavyoonge mambo ya mishahara mikubwa namna hiyo na mimi sina sikana kazi huu ni mwaka wa tatu tangia nigraduate natamani niikimbie Tanzania.
 
Back
Top Bottom