Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

The Civil servant are the lowest paid in than any other in TZ, Chakushangaza ! They are are the richest of all, and also holding overseas accounts in Switzeland.
 
jamani tuache kuwabeza walimu wetu, Mnajuwa hata UN unategemea hupo kitengo gani kwani hata Barrick kibongo bongo watu wankula ndefu mbayaaaa
 
The Civil servant are the lowest paid in than any other in TZ, Chakushangaza ! They are are the richest of all, and also holding overseas accounts in Switzeland.

Mkuu usitegemee pesa anayolipwa katibu mkuu ni sawa na pesa alipwayo mkuu wa mkoa na wote ni civil servant
 
jamani tuache kuwabeza walimu wetu, Mnajuwa hata UN unategemea hupo kitengo gani kwani hata Barrick kibongo bongo watu wankula ndefu mbayaaaa

Mkuu ungekuwa unaweka na amount figure kabisa ingekuwa murua zaidi
 
The Civil servant are the lowest paid in than any other in TZ, Chakushangaza ! They are are the richest of all, and also holding overseas accounts in Switzeland.

Hahahahaha! Mnene umefunika na unatisha, wewe unafaa sana inji hii
 
Kampuni yako mwenyewe ndiyo inalipa zaidi! Hakuna kampuni nyingine yoyote ile inayolipa vizuri kama ile utakayoanzisha Mwenyewe! Zingine zote zinakutumia tu! Fanya kazi popote upate mtaji uanzishe kampuni yako mwenyewe! Ndo kampuni pekee inayolipa zaidi! Kama una pesa kidogo anza sasa biashara! Kama umepata kazi basi kusanya hela uanzishe ujasiriamali! KAMPUNI YAKO PEKEE NDIYO INAYOLIPA VIZURI! Kama unabisha basi fanya Shortlist ya Wafanyakazi wa kampuni yoyote wanaopata mshahara halali (bila ufisadi) ambao wana nguvu kifedha katika jamii! Nina uzoefu wa 8 years katika kuajiriwa bt nothing vivid bila kufanya ujasiriamali!
 
Ni TRA kwani mfagia ofisi tu analipwa si chini ya laki 6, wakati fulani mwaka 2008 nilikutana na mwanasheria mmoja wa ICTR arusha naaliniambia alikuwa akilipwa milioni 17 kwa mwezi na bado alikuwa anadai hazitoshi!
 
Mimi naona kila ofisi ina mishahara minono kutokana na position uliyopo na qualification zako.ila katika kuchunguliachungulia nahisi hivi.
1.UN-ICTR Arusha,UNDP Dar
2.kwenye NGO za Ubalozini-JICA,DANIDA,USAID,NORAD,IFAD
4.ABG
5.TRA
6.TANAPA
7.Lafarge(Mbeya Cement)
6.TCC
7.TBL
 
Back
Top Bottom