Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,193
TISS wanalipa vizuri.
TISS-Tosamaganga International Secondary Schools.
TISS-Tosamaganga International Secondary Schools.
Naskia kwenye makampuni na mashamba ya mkonge wanalipa vizuri saanai
Mkuu umeskia wanarange kwanzia kiasi gani kwenye bodi ya mkonge serekaliniNaskia kwenye makampuni na mashamba ya mkonge wanalipa vizuri saana
napigilia msumariAfrican Barrick Gold, wanalipa vizur pia...
Mimi naona kila ofisi ina mishahara minono kutokana na position uliyopo na qualification zako.ila katika kuchunguliachungulia nahisi hivi.
1.UN-ICTR Arusha,UNDP Dar
2.kwenye NGO za Ubalozini-JICA,DANIDA,USAID,NORAD,IFAD
4.ABG
5.TRA
6.TANAPA
7.Lafarge(Mbeya Cement)
6.TCC
7.TBL
Vitaje tusaidie vijanaKuna vikampuni vidogo vidogo tu vya private tena havina hata majina hapa mjini,nimeshangaa kuona salary slip ya mtu ambae ni finance manager anakula 8.5m akaniambia kwenye hicho kikampuni Chao mtu mwenye mshahara mdogo huwa ni intern ambaye huwa wanampa laki 6 kila mwezi.
Noma sana