Deloitte ndio wanalipa vizuri
Hizo laki tisa ni usd au tsh?sehem pekee hapa nchin wanapolipa mshahara na malupulupu makubwa ni hifadh ya ngorongoro,kwa daktar take home per month ni lak tisa na somethng,motisha ni lak 9,ukijumlisha utapata jibu.
Nilipoanza kuwa hai nilikuwa naamini kuwa benki ndo taasisi zinazolipa kuliko zingine zote. Nilipoingia nikakumbuka kuwa jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.banker wa kike anajiuza ili kuongeza kipato
Mwingine huyu aiyelewa Gongo..
Bankers wa B.O.T wanapata Mil.40 kwa mwez wakuu.