Wapi chuo cha teolojia cha walokole

Wapi chuo cha teolojia cha walokole

we bure kabisa. ushajiuliza kwnini Mungu alimchagua msomi Paulo kupeleka injili kwa mataifa akawaacha Petro ndani au kwanini Paulo alikuwa anasisitiza kwa akina Timotheo kuwa wawafundishe wengine. hata hiyo theolojia umejuaje kuwa hao walioanzisha hawakuongozwa na Roho Mtakatifu
Unaelewa maana ya kupiga kelele?
 
Kwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha.

Wakatoliki Kipalapala n.k.

Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole.

Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea.

Mbona YESU wakati analeta injili alikuwa hapigi kelele?
waliosoma theologia na wasiosoma wote wanafanana, wanatulostisha binadamu kwa staili ya kutisha sana, kama ukiwafahamu vizuri.ukristo ni "hadithi tu"

View: https://www.facebook.com/reel/1401275058483436
 
we bure kabisa. ushajiuliza kwnini Mungu alimchagua msomi Paulo kupeleka injili kwa mataifa akawaacha Petro ndani au kwanini Paulo alikuwa anasisitiza kwa akina Timotheo kuwa wawafundishe wengine. hata hiyo theolojia umejuaje kuwa hao walioanzisha hawakuongozwa na Roho Mtakatifu

St Paul alikuwa msomi na alifundishwa na Rabi Gamaniel, Pia alikuwa ni farisayo, alisema "kwa haki ipatikanayo kwa Sheria he was blameless" , kwahiyo hata kuuwawa kwa Mt Stefano Mbele yake ilikuwa ni sahihi kisheria kwasababu torati ndivyo ilitaka vile, lakini Ile encounter ya Damascus ilimfanya, Mt Paulo kuwa simple kwake Roho Mtakatifu kumfundisha kuigeuza haki ipatikanayo kwa matendo ya Sheria kwenda kwenye haki ipatikanayo kwa Neema. Hivyo, Roho mtakatifu alimfundisha based on what he learned from his pharisaic sect na si kuanza upya. Ukimchukua Rabi yeyote wa sasa wa kiyahudi halafu akakutana na Yesu, huyo mtu kwenye exegesis atakuwa hatari na nusu. Ni uwongo na uzushi kusema Roho wa Mungu atakufundisha from empty slate, utabaki na umbumbumbu wako hivyohivyo unaofichwa na makelele lakini kwenye ku deliver unakuwa mtupu.Na mara nyingi haya makanisa madogo, ukiwacheki pastors huwa Wana struggle sana kwenye kufundisha Neno la Mungu kwasababu ya mind set hiyo hiyo (nafundishwa na Roho Mtakatifu) Roho Mtakatifu hawezi kuku - remind kitu ambacho huna. Kusoma ni lazima jamani tusimsingiziye Mungu.
 
Back
Top Bottom