NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,160
Sio Yesu tu hata mimi huwa sipigi kelele. Huwa nafundisha na kuhubiri kwa utulivu ili wasikiao waelewe.Kwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha.
Wakatoliki Kipalapala n.k.
Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole.
Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea.
Mbona YESU wakati analeta injili alikuwa hapigi kelele?
Wanaropoka tu hawana elimu ya theolojia. Ni kukariri tu mistari kwa kwenda mbele.Kwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha.
Wakatoliki Kipalapala n.k.
Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole.
Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea.
Mbona YESU wakati analeta injili alikuwa hapigi kelele?
unaposema chuo cha theolojia cha walokole kwani kuna dhehebu linaitwa walokole? lutheran/catholics ni dhehebu na ndiyo maana wana chuo chao sasa hilo dhehebu linaitwa la walokole lipo wapi Tanzania hii?Kwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha.
Wakatoliki Kipalapala n.k.
Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole.
Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea.
Mbona YESU wakati analeta injili alikuwa hapigi kelele?
Dodoma karibu na chuo cha mipangoKwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha.
Wakatoliki Kipalapala n.k.
Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole.
Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea.
Mbona YESU wakati analeta injili alikuwa hapigi kelele?
Vipo kuna pale kudiembe Chalinze,Dodoma na TemekeKwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha.
Wakatoliki Kipalapala n.k.
Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole.
Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea.
Mbona YESU wakati analeta injili alikuwa hapigi kelele?
Ni taasisi zao zisizo rasmi tena Chalinze na Pwani wana vichuo njoo vingi sana.Vipo kuna pale kudiembe Chalinze,Dodoma na Temeke
TAG wanacho cha kwao
EAGT wanacho cha kwao
AIC wanacho cha kwao
FGBFS pia na n.k
USSR
Ujue kusema "chiyoni ya leo mbengo zetafongokaaa"Wewe shika mistari yako miwili, nena kwa lugha, sauti ya kutosha iwepo. Chukua biblia, nunua spika, anzisha kanisa.
Baaaaaas!Ujue kusema "chiyoni ya leo mbengo zetafongokaaa"
Kuna hujui neno Pentecost hutanielewaunaposema chuo cha theolojia cha walokole kwani kuna dhehebu linaitwa walokole? lutheran/catholics ni dhehebu na ndiyo maana wana chuo chao sasa hilo dhehebu linaitwa la walokole lipo wapi Tanzania hii?
Yesu aliwapiga wafanyabishara waliokua wanauza bidhaa mbele ya nyumba ya Bwana,Yesu huyo huyo ndiyo aliekua akikemea mapepo yanamtii,Yesu huyo huyo ndiyo aliefanya miujiza mingi unasema Yesu hakupiga kelele wakati alikuja kuleta ukomboziKwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha.
Wakatoliki Kipalapala n.k.
Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole.
Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea.
Mbona YESU wakati analeta injili alikuwa hapigi kelele?
Sina comment brother.Yesu aliwapiga wafanyabishara waliokua wanauza bidhaa mbele ya nyumba ya Bwana,Yesu huyo huyo ndiyo aliekua akikemea mapepo yanamtii,Yesu huyo huyo ndiyo aliefanya miujiza mingi unasema Yesu hakupiga kelele wakati alikuja kuleta ukombozi
Mbona kinyonge mkuu 🤣Sina comment brother.
we bure kabisa. ushajiuliza kwnini Mungu alimchagua msomi Paulo kupeleka injili kwa mataifa akawaacha Petro ndani au kwanini Paulo alikuwa anasisitiza kwa akina Timotheo kuwa wawafundishe wengine. hata hiyo theolojia umejuaje kuwa hao walioanzisha hawakuongozwa na Roho MtakatifuSio Yesu tu hata mimi huwa sipigi kelele. Huwa nafundisha na kuhubiri kwa utulivu ili wasikiao waelewe.
My declaration: Nimeokoka hivyo
Roho wa Mungu ndio chuo changu. Kazi ya Mungu inahitaji kuongozwa na Mungu mwenyewe na si vinginevyo!