Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Wakuu tunaopiga suti kali za kishua, tujuzane machimbo ya suti kali Dar Mwanza Arusha na kwingineko
Kariakoo Karibu na lilipokuwa jengo la postaWakuu tunaopiga suti kali za kishua, tujuzane machimbo ya suti kali Dar Mwanza Arusha na kwingineko
Imported au za kushona mwenyewe?njoo kwa JUMA NDAMBI OUTFIT mbagala majimatitu mtaa wa kijichomiba
Kwa fundi ipo Bora zaidiSuti ya AI my friend !
Kwa nini mleta mada asishoneshe kwa fundi huwa inafika hadi nusu ya garama kwenye maduka rasmi.
NakaziaSuti za kushona Kwa fundi hapana