N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,827
- 9,536
Katika kesi ya Smith v Hughes , washtakiwa hawa ambao walikuwa wapenzi, walishtakiwa chini ya Sheria ya Makosa ya Mtaa kwa kosa la kufanya mapenzi hadharani ijapokuwa walikuwa ndani ya nyumba yao lakini walikuwa wakifanya huku dirisha likiwa wazi umma ukiwaona.
Wakati wa kesi, washtakiwa walijitetea kwamba hawakuwa hadharani bali walikuwa ndani ya malango yao ila wenye makosa ni hao waliokuwa wakipop dirishani kunogea mechi isiyowahusu,na kwamba ilikuwa ni uwanja wao wa binafsi yaani uwanja wa nyumbani.
Washtakiwa walipatikana na hatia, tafsiri ya korti ilikwenda mbali kusema kwamba, shughuli yao hiyo pevu yenye kuleta mshawasha ilikiuka sheria.
Sasa; vipi huku kwetu hili jambo likitokea utakuwa umevunja sheria?