Wapenzi wakifanya mapenzi ndani kwao usiku kwenye dirisha ambalo halijafungwa wanaweza kushtakiwa?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Katika kesi ya Smith v Hughes , washtakiwa hawa ambao walikuwa wapenzi, walishtakiwa chini ya Sheria ya Makosa ya Mtaa kwa kosa la kufanya mapenzi hadharani ijapokuwa walikuwa ndani ya nyumba yao lakini walikuwa wakifanya huku dirisha likiwa wazi umma ukiwaona.

Wakati wa kesi, washtakiwa walijitetea kwamba hawakuwa hadharani bali walikuwa ndani ya malango yao ila wenye makosa ni hao waliokuwa wakipop dirishani kunogea mechi isiyowahusu,na kwamba ilikuwa ni uwanja wao wa binafsi yaani uwanja wa nyumbani.

Washtakiwa walipatikana na hatia, tafsiri ya korti ilikwenda mbali kusema kwamba, shughuli yao hiyo pevu yenye kuleta mshawasha ilikiuka sheria.

Sasa; vipi huku kwetu hili jambo likitokea utakuwa umevunja sheria?
 
Unaweza kuwa umevunja sheria ila kwetu hapa wakukupeleka mahakamani ndio hayupo,, Wala chabo wataishia kufurahia tu.... hilo swala halijawai kuwa kero kiasi cha kupelekana korokoroni..
Na huku uswazi raha sana
 
Binadamu bado tunazingua sana kuhusu kupiga mbupu.

Yani inachukuliwa kama ka dhambi flan hivi wakati karbia kila mtu anafanya.

Me ndo napenda kwakwel. Nyumba zetu za uswahilini ukipiga hzo majirani wanakuaga wanajichekesha chekesha sana kimasihara.
Utasikia haaalooo wadada wakiwa barazani...mi wakisema hvo ndio pistoni inaongeza spidi
 
Unaweza kushtakiwa kwa kuwasababishia watu wawaze mambo mengine.
Kwamba utashitakiwa kwa kifungu hiki penal code 138 au sio (2) Any person who–
(a) commits grave sexual abuse is liable, on conviction to
imprisonment for a term of not less than fifteen years and not
exceeding thirty years, with corporal punishment, and shall
also be ordered to pay compensation of an amount
determined by the court to the person in respect of whom the
offence was committed for the injuries caused to that person;
 
Hio baharia akisikia kuna wapambe nje ndio anazidisha kichapo ili kujinyakulia pointi 3!
Kuja kupinduka kesho anaanza kutafuna mpambe mmoja mmoja ataekuwa anajilengesha. Wanawake wanatamanigi sana wawe ndio wao wanaliwa so wataanza kumpa greenlight baharia kuwatatua chupi.
 
Back
Top Bottom