Wapenzi kuishi pamoja kabla hamjaoana!

Wapenzi kuishi pamoja kabla hamjaoana!

he he he mbea weye kumbeee , basi bana uyo mkaka bna ni booonge la player,, babaake ana cheo cheo tu but haishi huku, huku yupo mamaake so ye akaamua kupanga si mbali sana na kwao, pita pita zake akaopoa bonge la dem yani ni kisu hatari mtoto wa kichaga, ye alikuja tu huku dar kufanya Kazi za ndani.. ni mzuri mnoo basi jamaa faster akamuwahi kidogo mimba basi ilikua inampelekesha hadi kuna siku akamtukana hadi boss wake ndo kikawa chanzo cha kuondoka na kuanza kuishi na mshikaji, kumbuka hamna anayejua kwao kitu chochote madai yao walikua wanasuburi ajifungue ndo wajitambulishe, ila mshkaji alimgusia mamaake .

kujifungua mdada akapata complications mno akafariki bna maskini yule Dada jamani daaa. balaa ndo lilipoanzia, alidata yule kaka, nimechoka kuandikaaa ila walivopeleka Msiba moshi walipigwa walifkuzwa Kama mbwa, yani Aibu tupu hadi wakajiponya kwa kwenda polisi hawakuhudhuria hata mazishi yani. alilia uyo kaka hadi Leo hayupo sawa

Duuh mambo ya kuchukuana tu sio!
 
Hakuna mvulana anakubali hiyo hali. Shida ni ninyi/wao mabinti. Ku f?rce King.

Wala si sisi kuforce hiyo kitu,mara nyingi ni nyinyi men ndo mnahitaji iwe hivo..na hiyo ni nyinyi kutamani kupata huduma anazopatiwa mume kabla ujawa mume.
 
We mtoa mada acha kijicho bwana,asikwambie mtu hizi ndoa za demo au trial version tamu balaa mkuu,yani full burudani mi huwa napenda sana kujifunza through experience nmeamua kujaribu zoezi la kutulia na mpenzi wangu magetoni na hivi sasa nipo katika process husika.

Advantages:
1.Napikiwa kama mume sili vibandani tena.
2.Nafuliwa nguo na kunyooshewa.
3.Napewa dudu nikihitaji as long as she is around.
4.Nazidi kunawiri kiafya maana nakula ninachotaka as long as nakinunua kipikwe.
5.Sina stress maana nikiwa na mawazo tu nabembelezwa yani full raha tu.

Nawasihi ambao hamjapata ku experience hili zoezi msijaribu maana liko very addictive,yani huwezi kuacha kirahisi kitu kinachoweza kuwapoteza kimalengo.Kingine hili zoezi limenifanya niwaze kuoa mapema maana ndoa tamu jamani esp. ukimpata akupendaye mpaka anaumwa kichwa.

Uoee sasa utachafua hekalu la Mungu mpaka Lin?? Kilicho baki hapo ni kubariki ndoa tuu
 
Hahahaha..., mabinti wa Ki Afrika hakika wamepoteza thamani yao.
 
Ni sahihi cha msingi tu ni kuwa wazazi wa pande zote mbili wawe na taarifa za mahusiano yenu na pia wawe wamejulishwa ni lini mtatimiza utaratibu unaofaa.
 
Inategemea na makubaliano yenu mmekubaliana vipi na uhusiano wenu upo katika stage ip,kama kuachana na kuchokana kupo tu,unaweza uwe hujawai ishi nae mkaachana na ukaishi nae then mkaja oana,so it depend mahusiano yako vipi kuishi kabla ya ndoa sio kigezo cha kutokuoana.
 
Okey.... Kwahiyo turuhusu watoto wetu wafukunyuaaneeee.... Na taarifa hyo isipotimizwa..manaake mmeruhusu uzinzi.
Ni sahihi cha msingi tu ni kuwa wazazi wa pande zote mbili wawe na taarifa za mahusiano yenu na pia wawe wamejulishwa ni lini mtatimiza utaratibu unaofaa.
 
Ni sahihi cha msingi tu ni kuwa wazazi wa pande zote mbili wawe na taarifa za mahusiano yenu na pia wawe wamejulishwa ni lini mtatimiza utaratibu unaofaa.

Nimewahi kuishi maeneo fulani kanda ya ziwa. Huu utaratibu wa namna hii haupo.
 
Habari wana jf,hivi ni sahihi kwa wapenzi ambao uhusiano wao haujajulikana bado kwa pande zote mbili nikimaanisha kwa mwanamke hawamtambui mwanaume na kwa mwanaume hawamtambui mwanamke,je ni sahihi kuishi pamoja kabla ya kuoana lets say ile mwanamke anaenda kwa mwanaume anakaa hata mwezi sometime mwanaume anaenda kwa mwanamke nae anakaa even week!

Ni jambo zuri, na inasaidia

Nina experience na hii kitu, nimekaa na wanawake kadhaa kwa style hiyo, na inasaidia kumjua mwanamke kama ana makandokando au kama ni wife material, nadhani hata kwa mwanamke kumfahamu mwanaume

Ila wanawake wananogewa sana wakishapata regular dick, na sisi wanaume kupata kisuuzio mda wowote tukihitaji ni jambo la kheri

Kuna risk na changamoto zake pia, ikiwa ni pamoja na kwamba chochote kibaya kinaweza kutokea, ila mi nasema ni mipango ya Mungu
 
Hata mataifa yanayoruhusu ushoga na usagaji na ndoa za jinsia moja mambo yalianza hivihivi.

Kinachoanza ni kuhakikisha mfumo wa ndoa unavurugwa kwanza. Nanyi ni mashahidi hata humu MMU jinsi thread za michepuko zilivyo nyingi.

Mbaya zaidi imeanza kuonekana michepuko ni kitu cha kawaida. Baada ya muda watu hawatajali ndoa tena.
Hivi sasa mfumo wa kuanza kuishi bila ndoa ndiyo umeshika kasi na watu wanaona ndiyo "usasa" na ni haki yao.

Mwisho wa siku ndipo mambo ya ushoga huingia na kwa namna ileile yataonekana ni "usasa".

KUISHI PAMOJA KABLA YA NDOA NI UTOVU WA NIDHAMU KWA WAZAZI. Na hapo hata nafasi ya Mungu haijawa considered maana Mungu ameagiza watoto wawaheshimu wazazi wao.
 
Ni sahihi cha msingi tu ni kuwa wazazi wa pande zote mbili wawe na taarifa za mahusiano yenu na pia wawe wamejulishwa ni lini mtatimiza utaratibu unaofaa.

Nakuunga mkono kbs sababu mapenzi ya mbali Siku iz sio kbs mim sioni tatizo kuhus ilo suala cha msingi mawasiliano yawepo pande zote mbili au mahari itolewa kisha wafate utaratibu mwingne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom