Wapenzi kuishi pamoja kabla hamjaoana!

Wapenzi kuishi pamoja kabla hamjaoana!

Ah lazima tuishi pamoja kwanza. Hata kwenye dealerships huwa kuna test drive.

Inabidi nijue kama unalala kibabe(unajiachia kitanda chote). Inabidi nijue kama huwa unaamka na morning dew, ama lah. Inabidi nikuone in your zombie mode (no make up), nione kama naweza kuvumilia ama lah. Et cetera et cetera.

Unaweza ukayajua hayo kwa sleep over tu,mara 3 4 inatosha. Sa ndio ahame kabisa..Ah Ah
 
huwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia so lazima uhakikishe yaliyomo yamo maana siku hizi mahari imekuwa ni ghali mno so usije kupoteza hela zako bure bure tu
 
We mtoa mada acha kijicho bwana,asikwambie mtu hizi ndoa za demo au trial version tamu balaa mkuu,yani full burudani mi huwa napenda sana kujifunza through experience nmeamua kujaribu zoezi la kutulia na mpenzi wangu magetoni na hivi sasa nipo katika process husika.

Advantages:
1.Napikiwa kama mume sili vibandani tena.
2.Nafuliwa nguo na kunyooshewa.
3.Napewa dudu nikihitaji as long as she is around.
4.Nazidi kunawiri kiafya maana nakula ninachotaka as long as nakinunua kipikwe.
5.Sina stress maana nikiwa na mawazo tu nabembelezwa yani full raha tu.

Nawasihi ambao hamjapata ku experience hili zoezi msijaribu maana liko very addictive,yani huwezi kuacha kirahisi kitu kinachoweza kuwapoteza kimalengo.Kingine hili zoezi limenifanya niwaze kuoa mapema maana ndoa tamu jamani esp. ukimpata akupendaye mpaka anaumwa kichwa.
 
Not allowed...japo vijan wa siku wanatumia kukoleza uhusiano na ujengeke
 
lazma nikupe ujauzito Kama kidume cha mbegu Kama mimi
 
Yamemkuta yapi?tupe kaubuyu kidogoo bhas..

he he he mbea weye kumbeee , basi bana uyo mkaka bna ni booonge la player,, babaake ana cheo cheo tu but haishi huku, huku yupo mamaake so ye akaamua kupanga si mbali sana na kwao, pita pita zake akaopoa bonge la dem yani ni kisu hatari mtoto wa kichaga, ye alikuja tu huku dar kufanya Kazi za ndani.. ni mzuri mnoo basi jamaa faster akamuwahi kidogo mimba basi ilikua inampelekesha hadi kuna siku akamtukana hadi boss wake ndo kikawa chanzo cha kuondoka na kuanza kuishi na mshikaji, kumbuka hamna anayejua kwao kitu chochote madai yao walikua wanasuburi ajifungue ndo wajitambulishe, ila mshkaji alimgusia mamaake .

kujifungua mdada akapata complications mno akafariki bna maskini yule Dada jamani daaa. balaa ndo lilipoanzia, alidata yule kaka, nimechoka kuandikaaa ila walivopeleka Msiba moshi walipigwa walifkuzwa Kama mbwa, yani Aibu tupu hadi wakajiponya kwa kwenda polisi hawakuhudhuria hata mazishi yani. alilia uyo kaka hadi Leo hayupo sawa
 
hivi mwanaume unakubalije kuishi kinyumba na mtoto wa watu hata hamjatambulishana pande zote mbili.. akikufia gafla je??? unaanzia wapi labda... yamemkuta jirani yangu hayo yani ilikua balaa..

mwanamke Utakubalije kuwekwa kinyumba wakati kwenu hawamtambui mwanaume uliyenae? Je ukipata mimba na Kuachwa utamlaumu nani
 
  • Thanks
Reactions: Art
Hayo mambo ya kuanza kuishi pamoja ni watoto kukosa kuheshimu wazazi wao. Ni dharau kubwa sana kijana wa kiume kumchukua binti wa watu bila utaratibu kufuatwa kulinda heshima ya wazazi.

Vijijini ni wastaarabu sana na wanaheshimiana. ikitokea kijana akamtorosha binti na kwenda naye kwao lazima wazazi wake kesho yake tu wapeleke taarifa nyumbani kwa wazazi wa binti ili kuweka mambo sawa na utaratibu uweze kuanza.

Jambo baya zaidi hawa wanaosupport kuanza kuishi pamoja ndiyo wanajaa kwenye nyumba za ibada.

Hata WAPAGANI hawafanyi hivyo
 
We mtoa mada acha kijicho bwana,asikwambie mtu hizi ndoa za demo au trial version tamu balaa mkuu,yani full burudani mi huwa napenda sana kujifunza through experience nmeamua kujaribu zoezi la kutulia na mpenzi wangu magetoni na hivi sasa nipo katika process husika.

Advantages:
1.Napikiwa kama mume sili vibandani tena.
2.Nafuliwa nguo na kunyooshewa.
3.Napewa dudu nikihitaji as long as she is around.
4.Nazidi kunawiri kiafya maana nakula ninachotaka as long as nakinunua kipikwe.
5.Sina stress maana nikiwa na mawazo tu nabembelezwa yani full raha tu.

Nawasihi ambao hamjapata ku experience hili zoezi msijaribu maana liko very addictive,yani huwezi kuacha kirahisi kitu kinachoweza kuwapoteza kimalengo.Kingine hili zoezi limenifanya niwaze kuoa mapema maana ndoa tamu jamani esp. ukimpata akupendaye mpaka anaumwa kichwa.

Haya nimekuelewa bro,thanks for your advice.
 
Habari wana jf,hivi ni sahihi kwa wapenzi ambao uhusiano wao haujajulikana bado kwa pande zote mbili nikimaanisha kwa mwanamke hawamtambui mwanaume na kwa mwanaume hawamtambui mwanamke,je ni sahihi kuishi pamoja kabla ya kuoana lets say ile mwanamke anaenda kwa mwanaume anakaa hata mwezi sometime mwanaume anaenda kwa mwanamke nae anakaa even week!

Si? sawa kabisa we binti. Na kama uko kwa huyu mvulana ondoka mapema usiku huu urudi kwenu.
 
Hakuna mvulana anakubali hiyo hali. Shida ni ninyi/wao mabinti. Ku f?rce King.
hivi mwanaume unakubalije kuishi kinyumba na mtoto wa watu hata hamjatambulishana pande zote mbili.. akikufia gafla je??? unaanzia wapi labda... yamemkuta jirani yangu hayo yani ilikua balaa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom