Hahahahaha...... bahati iliyoje hii jamani.....:violin::lock1:😛eep:Hongera sana dada,
mimi na babu yako tutakuwepo kwenye kukata keki.
Afu wewe, hebu toka nje bana usituharibie shughuli, kwanza unamuamsha mtoto...
Akiamka ole wako tutakufungia mgongoni..
Hahaha, nani anapenda kubananishwa Mtei?...Ukibananishwa unakuwa mkali kama mbogo.
We sherehekea tu firstlady, ili mradi keki ipo hakuna tazizo, ametualika akatuacha njia panda wacha tuendelee kuimba mpaka akuje kufafanua lol..Na wewe MJ1 hata hujaelezea ni juu ya nini
Keki yenyewe haiseme kama ni harusi ,graduation au birthday
Haya mama mie najiunga kusheregekea ,,barikiwa
Hongera sana mj1, tunakupenda pia sana...
Sherehe iko pande zipi?
Hujambo bi mkubwa???
Mbona unatualika nusu nusu leta habari nzima
eneo la tukio wapi??
Mtei...........................Uko mjini kwa kutegemea mnuso wa sherehe.
One.......................... Unataka kunikimbizia wageni wangu eh!We ushazoea kuzamia. Kadi ya nini?
Wewe hutaki......halafu acha uchoyo wa like umepewa 50 wewe umetoa sita tuu?
......Ah Babu aksante sana, hatimaye umelifumbua hili fumbo la imani. I will always be Mjukuu Mtiifu kwako na Bibi Mamndenyi ambaye naona anakaba mpaka kabali tujukuu twingine tusikumalizie ile 50 eh? lolHappy Birthday Mjukuu mtiifu...
Babu loves you as always.....
Kata keki tule.....:violin:
Hongera sana dada,
mimi na babu yako tutakuwepo kwenye kukata keki.
Na wewe MJ1 hata hujaelezea ni juu ya nini
Keki yenyewe haiseme kama ni harusi ,graduation au birthday
Haya mama mie najiunga kusheregekea ,,barikiwa
Jaman my wii,mzima ww?Hapana wifi, huu unaonekana ni wa kuzamia tu,...
Hivi mtei mbona tunaumbuana kiasi hiki?We ushazoea kuzamia. Kadi ya nini?
Hahahahaha...... bahati iliyoje hii jamani.....:violin::lock1:😛eep: