Wapendwa......................

Ukiona ka keki kana pete kamefungiwa juu ujue ni dalili za kuchumbiwa. Congretulesheni shem. Nawatakia ndoa njema yenye baraka. Na msiache kutumia madawa ya mzizimkavu ili mupate kizazi chenye afya, pia na nyinyi mahalusi msizeeke halaka. Tusemeni amen

Hepi besdei + uchumba
 
kila la kheri

Aksante sana Mtu Chake..............najivunia kuwa nawe kama sehemu ta familia yangu (ingawa sikufahamu kihiiiiiiivyo)

Hongera sana MJ1...
Amney Mjukuu wa Babu.....aksante .ila nawe punguza perfume...yaani hiyo Rare Pearl umejipulizia utadhani unakwenda kupungwa!! Nakupenda ujue.

What's the occasion here?
NN........................It is My Birthday..................... Mimi MJ1
 
Kamanda thanks sana; i wish ningejua mapema

Niko njiani kutokea sehemu inayoitwa tigoni, ntapita kimbimbi ndio nielekee kuona niece wangu shule moja yaitwa nyoko hapo kesho

sijui wakenya wana nia gani na majina ya ajabu-ajabu ya sehemu wanazoishi!!!

Kamanda aksante ila hayo majina mwe!!

Happy birthday dada MJ1...a year older more wisdom. Be blessed as always.
Mamito.........you have been missed aisee....hebu ninong'oneze MTM kakuficha wapi?? Maana mh............. mmepotea sana nyie wawili
 
Fixed jamani, that was so sweet of you ah.................... thanx for calling my sisy.
Kama ulivyonisikia sauti nyororoooo kwa mafua! hhahahha
Usijali my dear, nimefurahi kama umefurahi.
Hiyo sauti nyororo ndo bomba, hayo mafua ndo hayatakiwi. Get well soon sweetie!
 
Sasaaaaa!!!!
Hivi ulielewa vizuri kuhusu nyumba ndogo eeh!

HBD bana,

Kama hujaelewa .....come this way tufanye practical kwa wiki moko tuone maendeleo ya uelewa!:p
 
Back
Top Bottom