Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,214
- 4,722
Ndugu zangu nyote hamjamboni?
Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake
Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe
Mungu awabariki Sana
✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji huu baada ya kufa kwake? Basi Mwenyezi Mungu alimfisha yeye muda wa miaka mia. Kisha akamfufua. Akamuuliza: Je umekaa muda gani? Akajibu: Labda nimekaa siku moja au sehemu ya siku. Akamwambia: Bali umekaa miaka mia wewe. Hebu angalia chakula chako na vinywaji vyako, havikuharibika. Na muangalie punda wako. Na ili tukufanye uwe ni Ishara kwa watu iangalie hii mifupa yake jinsi tunavyo inyanyua kisha tunaivisha nyama. Basi yalipo mbainikia alinena: Najua kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.
*Naomba jina la huyo aliyekufa na kisha akafufuliwa?
*Je huyo Mtu aliuliwa Mwaka Gani na alifufuliwa Mwaka Gani ili kupata JUMLA ya Miaka 100 aliyokaa kaburini?
*Je huyo Mtu alikuwa jinsia gani?
*Naomba jina la Mji alipokuwa ANAKAA na Jina la Baba na Babu yake
*Iko wapi Aya ama Hadithi alipokufa tena huyu mtu baada ya kufufuliwa ama wapi alienda Mbinguni baada ya kufufuliwa?
Karibuni tujadili