Wapenda wabeba maboksi

Kuna wabeba box flani nawafahamu wana mashauzi hao utafikiri hawanyi!
Hivi wote ndio wapo hivyo au ni hao tu? Nijuzeni kabla sijatuma maombi kwa nyani.
 
@emilia
basi wote kesho tunapanda ndege twende huko ambako hamna foleni ya kutoka tegeta kwenda posta

reference ya Tz ni dar tu?
Mikoa mingine ina foleni?
 
Kuna wabeba box flani nawafahamu wana mashauzi hao utafikiri hawanyi!
Hivi wote ndio wapo hivyo au ni hao tu? Nijuzeni kabla sijatuma maombi kwa nyani.

Wewe unakunya?
 
huwa ni movie tosha
huwa nacheka hadi nataka kuzimia
kila mmoja hutaka onekana ni juu zaidi ya wengine
hapo ndo huandaa popcorn na coke ready for the maigizo
tena zile za stejin

Kuna wabeba box flani nawafahamu wana mashauzi hao utafikiri hawanyi!
Hivi wote ndio wapo hivyo au ni hao tu? Nijuzeni kabla sijatuma maombi kwa nyani.
 
Na mimi nataka, lakini kwa urafiki tu
 
Bongo haiko kama Marekani wala Ulaya au nchi ingine yoyote iliyoendelea. Watu huwa wanadanganyana hivyo kujipa faraja tu.
 
huwa ni movie tosha
huwa nacheka hadi nataka kuzimia
kila mmoja hutaka onekana ni juu zaidi ya wengine
hapo ndo huandaa popcorn na coke ready for the maigizo
tena zile za stejin

wangejua wanajichoresha wasingekuwa wanafanya mashauzi.
 
Heeey Zayon dota....hebu rusha hiyo PM nikupe shavu bana. Umeadimika sana wewe siku hizi.
am siriaz ujue...ngoja nikupiem kabla inbox yako haijajaa.Mie nipo ila siku hizi majukumu yameongezeka ndo maana sionekani.
 
am siriaz ujue...ngoja nikupiem kabla inbox yako haijajaa.Mie nipo ila siku hizi majukumu yameongezeka ndo maana sionekani.

Karibu sana kwenye chama chetu cha wabeba maboksi. Kwa niaba yangu mwenyewe, mimi kama raisi wa maisha wa wabeba maboksi na kwa niaba ya katibu mkuu tawi la Shekoslovakia na Chechenya, mheshimiwa Kloro, tunakukaribisha kwa mikono yote miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…