Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,139
- 136,955
kumbe na wewe kilaza kiasi hicho?
Kina dada,
Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua kuhusu mbeba maboksi wako unayetamani kuwa naye.
Jipatie mbeba maboksi wako...usilaze damu. Tuma PM.
Nahitaji sifa zifuatazo kwa mbeba boxi huyo;
Mweusi,Mfupi,baunsa,mikono shupavu...anaenukia jasho la kazi..awe na afro ili nipate kuhesabu nywele zake akiwa anataka kupata usingizi...
kumbe na wewe kilaza kiasi hicho?
Kloro anazo hizo sifa zote. Kimo chake ni 5'2, ana bonge la fro, kajazia....ushindwe wewe tu.
Nahitaji sifa zifuatazo kwa mbeba boxi huyo;
Mweusi,Mfupi,baunsa,mikono shupavu...anaenukia jasho la kazi..awe na afro ili nipate kuhesabu nywele zake akiwa anataka kupata usingizi...
Kwani ukifika tu unavua?Mmmh,una uhakika kuwa na yeye anatafuta lakini,usije kuwa unanilengesha sehemu ambayo tayar watu washaweka kambi....Nataka nimsikie mwenyeweeeee akija humu..sitaki kufukuzwa na kichupi mkononi mie..
Soma signature yangu how to impress a MenKwani ukifika tu unavua?
Hapa wewe ndio unaonekana Kilaza, halafu wewe ni binti au mdada?kumbe na wewe kilaza kiasi hicho?
Soma signature yangu how to impress a Men
Ndio maana yake!! na kitanda changu mimi ni futi 3 tu sitaki sita kwa sita. maana mgusano ni muhimu sana.Mhuuu!
Basi mPM binti asiyejua kudissapoint.Ndio maana yake!! na kitanda changu mimi ni futi 3 tu sitaki sita kwa sita. maana mgusano ni muhimu sana.
.........Nitamtambuwaje?Basi mPM binti asiyejua kudissapoint.
.........Nitamtambuwaje?