Pole sana! Komaaa mpka liishe!Mh mkuu ndiyo maana ninakula ugali j'mosi tu
ahahaaaaUgali dona saiz ya ngumi yangu,pembeni nyama ya kukausha,mchicha/tembele,kachumberi iliokolea ndimu,mango chatne ama pilipili ya kupikwa,kipande cha tikiti na maji yenye ubaridi kwa mbaaali![]()
Wife materialHabari za J3 wapendwa
Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitoweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.
Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?
Wanaume pia mnakaribishwa
mwakashina wali nakitoga ha ha ha ha
Wale wa pwani labdaKuna wanaume wanaomba wapikiwe wali kama menu ni ugali
Tupate wazoefu watuambie nguvu zao wanazipata katika vyakula vipi!Kule pwani kwanza jioni migahawa huuza chai na vitafumio wali pia hupati seuse ugali