Ni kweli ugali baada ya saa moja usiku unafanya tumbo liwe zito.Muda mwingi katikati ya wiki lunch yangu ni dona na mboga tofauti isipokuwa jmosi na jpili tu. Sili ugali usiku, sipendi coz sitaki kulala tumbo likiwa limejaa.
Ugali uule asubuhi ya SAA NNE au tano,kitu ugali rostiMimi ninakulaga moja kwa siku inamaana breakfast saa nne, lunch saa Tisa- kumi
Hapana mkuu,mie ugali muda huo ndio mzuka,kazi zinaenda huku kiyoyozi kinapuliza taratibuuuMkuu inategemea unafanya kazi gani, unaweza kufukuzwa kazi na joto hili kwenye office yenye kiyoyozi umepiga ugali unaweza kukoroma saa sita mchana
Hiyo nyeupe ni nini mkuu? Mbona sielewi elewi
Samaki gani haoSamaki
Mkuu lile umbo lako km sanamu ya tangazo la binsulum limeishaMkuu inategemea unafanya kazi gani, unaweza kufukuzwa kazi na joto hili kwenye office yenye kiyoyozi umepiga ugali unaweza kukoroma saa sita mchana

