Wapenda ugali mpo?

Wapenda ugali mpo?

Kwa kweli mimi nikinyimwa ndizi nitahama nchi kabisaaa...ugali sijui mara ya mwisho nilikula lini...Mimi huwa nashangaa sana ninapoona mtu anaagiza ugali restaurant.Anyway kweli tupo tofauti hongereni wadau wa ugali mimi ndizi ndo sawa na ww unavyopenda kitu cha 'nguna'
Ha ha ha ha toka nmepata akil zangu sijawah agiza ugali hotelin,,,unashangaa kama mm navyoshaangaaga watu waagiza ugali duh
 
Mimi naweza kula ugali mwaka mzima, wali, ndizi huwa naona kama sio chakula..

Naonaga kama ni vitafunwa kwenye breakfast na sio mlo kamili.

Bila kula ugali naona kama sijala chakula kabisa.
Teh teh eti vitafunwa.
 
Alafu inaonekana unajali sana afya yako kupitia chakula, nimekusoma kwenye thread mbali mbali.

Mimi hiyo ni tabia ambayo ninayo, nakula chakula kwa sababu kitaniongezea kitu ndani ya mwili, sio kufuata ladha nzuri
Haswaa! wanasema sweet food is a sweet poison.
 
Dume la mbegu lazima nile dona/nyama choma/samaki/maziwa.....yani ni burudani hata Dona maharage linapanda..........
 
Dume la mbegu lazima nile dona/nyama choma/samaki/maziwa.....yani ni burudani hata Dona maharage linapanda..........
Maharage yaliyokolea nazi dona na samaki wa kukanga na pembeni kuna majani ya viazi na ndimu kishkaji
 
Wapenda ugali mpo?
TUPO. Infact wengine hata asubuhi twala, twadumisha mila na tamaduni za kanda ya ziwa, hata wazungu mbona nao zao..
 

Attachments

  • images (7).jpg
    images (7).jpg
    8.5 KB · Views: 27
  • images (6).jpg
    images (6).jpg
    9.4 KB · Views: 25
  • images (5).jpg
    images (5).jpg
    8.8 KB · Views: 32
  • images (4).jpg
    images (4).jpg
    8.5 KB · Views: 30
  • images (3).jpg
    images (3).jpg
    5.3 KB · Views: 29
  • images (2).jpg
    images (2).jpg
    9 KB · Views: 28
  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    7.9 KB · Views: 24
  • images.jpg
    images.jpg
    9.3 KB · Views: 29
  • download (4).jpg
    download (4).jpg
    6.7 KB · Views: 24
  • download (3).jpg
    download (3).jpg
    9 KB · Views: 25
  • 10410405_622573181174050_1110341395515331630_n.jpg
    10410405_622573181174050_1110341395515331630_n.jpg
    5.5 KB · Views: 23
Ugali ni chakula nisichoweza kuacha kula ndani ya siku mbili.
Yaani bora mchele uishe ndani ila sio dona.
 
Back
Top Bottom