Maharage lililokolea nazi na samaki wa kukaanga pembeni pamoja na mboga za majaniUgari una mboga zake, siyo ugari nyama au maharage, ugari mboga zake kama samaki wa kukaanga, nyama choma, mlenda sijui bamia ya kuchanganyikiwa na biringanya nyanya changu daaah, au ugari makange ya kuku au ya mbuzi
Harage lililokolea nazi na samaki wa kukaanga pembeni pamoja na mboga za majani
Mhogo wa coco beach hupendi?Napenda ugali dagaa na mboga za majani pembeni![]()
ni aina ugali nao!Mhogo wa coco beach hupendi?
Nayo ina wanga kama ugari tuni aina ugali nao!
Hiyo hapana.Nayo ina wanga kama ugari tu

Hujawahi kusikia ugari wa mhogo?Hiyo hapana.![]()
Huo naujua sema siupendi ladha yakeHujawahi kusikia ugari wa mhogo?
Huo Kigoma wanaula na dagaa wa mawese, lakini kwetu Pemba twala mhogo na papa, kisha twapumzika, kwa shibe, kiza kikiingia twaenda pwani maana hakuna vyoo.Huo naujua sema siupendi ladha yake
Habari za J3 wapendwa
Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitoweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.
Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?
Wanaume pia mnakaribishwa
Ha ha haaaa, nilishukiaga pale Bweli stand, Musoma town nikamkuta dada wa kikurya anakamua ugali wa mtama na kichuri ndo nikajua "Sasa umeingia kanda ya wababe "mbona sijaona mtu akizungumzia ugali wa mtama unaoliwa kule kwetu kanda maalumu?
Unga wa mahindi haupatikani huko?unaishi tanzania apa apa au upo nchi za ugenini mana nikifuatiliaga post zako unaonekana kama upo nchi za ighaibuni sasa uko ugaibuni ugali unapataje...???
Akunaga ugali kwanza awaujui ugali unga wa maindi cko sure kama upo japo maindi yapo ila yanatumika kwa kulishia mifugo hasahasa....Unga wa mahindi haupatikani huko?