Wapenda ugali mpo?

Wapenda ugali mpo?

Kitu dona na mboga yeyote mwaka mzima Saafi tu! Sema bana nasikia inasababisha kisukari kwa asilimia kubwa?naomba kujuzwa zaidi
 
Hivi ugali ni nini? Mbona sijui? Ladha yake ni kama pizza? Lasagna? Bologna? Salami? Peperoni? Mozzarella ?
 
Kitu dona na mboga yeyote mwaka mzima Saafi tu! Sema bana nasikia inasababisha kisukari kwa asilimia kubwa?naomba kujuzwa zaidi
Dawa ni kufanya mazoezi mkuu. Ugali una carbohydrates kubwa na hii isipotumika mwilini inabadilishwa kuwa mafuta ambayo yanahifadhiwa kwenye ini kwa matumizi yabaadae kama vile inacyoweka nafaka ghalani. Ukizidi kuyaongeza yanahifadhiwa katika sehemu nyingine za mwili kama tumboni ndiyo yanasababisha kitambi. Yakizidi sana yanashindana nafumo wa mwili wa kurekebisha kiwango cha sukari.
 
2459ee3d388a493c101bf5d5fa4fc3de.jpg
 
Habari za J3 wapendwa

Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitoweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.

Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?

Wanaume pia mnakaribishwa
Mkuu hapa umenikamata haswaa!

Mimi ugali Nyama, samaki hapo nimefika

Na ndio mboga kwa ujumla zinakubali ugali
 
Mkuu hapa umenikamata haswaa!

Mimi ugali Nyama, samaki hapo nimefika

Na ndio mboga kwa ujumla zinakubali ugali
Nyama ya mchuzi au kavu? Samaki ninapenda kupika na mchuzi wa nazi lakini oily fish kama mackerel au salmon ninambake kwanza then ninmchesha na Limao nyanya chungu na bamia ohh
 
Nyama ya mchuzi au kavu? Samaki ninapenda kupika na mchuzi wa nazi lakini oily fish kama mackerel au salmon ninambake kwanza then ninmchesha na Limao nyanya chungu na bamia ohh
nyama kavu inakua poa zaid

Uyo samak ndio sawa kabisa
 
Ugari una mboga zake, siyo ugari nyama au maharage, ugari mboga zake kama samaki wa kukaanga, nyama choma, mlenda sijui bamia ya kuchanganyikiwa na biringanya nyanya changu daaah, au ugari makange ya kuku au ya mbuzi
 
Back
Top Bottom