Wapenda ugali mpo?

Wapenda ugali mpo?

Aaahaggggghhhh nikisikia ugali hua najiona mnyonge,,kitu wali bhanaaaa weeeee,

Wali Nazi
Samak Nazi
Kisamvu Nazi weeeeeee acha kabsa,,,halaf usipikwe kwa rice cooker upikwe wa mkaa uwe na matandu aaaaah jamaniiiii wali wali wali wali wali wali wali wali wali,,,nikisafiri kwenda sehem zisizo na naz hua nabeba kadhaaa kwenye but au zile za pakit japo majua sio nzur lakin nimeshakua muathirika na mboga naz,siwez kuacha hata kaka una madhara wacha yanidhuru tu kitu checheeee .

Weeeee acha kabsa,naweza upiga asbhi kporo,mchana na usiku vile vile hata miaka mitatu mfululizo,,,Mungu ananiona sisem uongo ugali nakula kwa bahat mbaya tu,hasa nikienda ukwen mke anafanyaga makusud kupika maana anajua siwez kukataa kula...
 
shukrani mkuu,hii ngoma niliitafuta kwa miaka mingi,bado moja ya pro jay inaitwa tathmini aliimba na adili hisabati
 
Hata Mark zuckerbag anapendaga,
15.png
 
Habari za J3 wapendwa

Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.

Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?

Wanaume pia mnakaribishwa
hongera,kwa kuwa wanawake wachache sana wanapenda ugali hususani maeneo ya Mjini
 
Yaani mku hili la ugali wa mhogo afadhali umelileta. Jaribu kutembea Dar uoe ni hoteli ngapi wanapika ugali wa mhogo. Watoto wa sikuhizi hata hawaufahamu. Tunapoteza asili yetu
Tru dat,tusizoee tu kula ugali wa unga wa mahandi,sku nyengine mnatoa kitu cha unga wa muhogo,mtama etc
 
Habari za J3 wapendwa

Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.

Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?

Wanaume pia mnakaribishwa
Mimi ni mmoja wapo napenda sana ugali.
 
shukrani mkuu,hii ngoma niliitafuta kwa miaka mingi,bado moja ya pro jay inaitwa tathmini aliimba na adili hisabati
ile hiyo sio ya nature jamaa nafkiri mkenya
nikizipata ntakurushia
 
Ugali Mara moja moja mchana sio mbaya kwangu.. Ila siwezi kula ugali bila mboga za majani.. Bora nisiule tu..
Ndizi jamani ndio haswaa chakula changu..ndizi nyama ya mbavu na utumbo
 
Aaahaggggghhhh nikisikia ugali hua najiona mnyonge,,kitu wali bhanaaaa weeeee,

Wali Nazi
Samak Nazi
Kisamvu Nazi weeeeeee acha kabsa,,,halaf usipikwe kwa rice cooker upikwe wa mkaa uwe na matandu aaaaah jamaniiiii wali wali wali wali wali wali wali wali wali,,,nikisafiri kwenda sehem zisizo na naz hua nabeba kadhaaa kwenye but au zile za pakit japo majua sio nzur lakin nimeshakua muathirika na mboga naz,siwez kuacha hata kaka una madhara wacha yanidhuru tu kitu checheeee .

Weeeee acha kabsa,naweza upiga asbhi kporo,mchana na usiku vile vile hata miaka mitatu mfululizo,,,Mungu ananiona sisem uongo ugali nakula kwa bahat mbaya tu,hasa nikienda ukwen mke anafanyaga makusud kupika maana anajua siwez kukataa kula...
Duuuuu wewe ni mwanaume kumbe, basi sawaa
 
Mhhh inategemea na mboga,ugali maharage inahusuu?
Ugali dagaa tembele
Ugali kuku mlenda
Ugali prawns Kisamvu hapa ni balaaa...
 
Tunafanana sana, mimi naweza kula ugali hata mwezi mzima, yaani wali nakulaga pale inapokua imeshindikana kabisa.
Mkuu unazungumzia wiki wakati wengine tunapiga miezi labda ije sikukuu
 
Kwa kweli mimi nikinyimwa ndizi nitahama nchi kabisaaa...ugali sijui mara ya mwisho nilikula lini...Mimi huwa nashangaa sana ninapoona mtu anaagiza ugali restaurant.Anyway kweli tupo tofauti hongereni wadau wa ugali mimi ndizi ndo sawa na ww unavyopenda kitu cha 'nguna'
 
Back
Top Bottom