dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,291
- 5,803
Lazima afya ikutembelee apoUgali dona la moto (dona la home made-unanunua unga wa dona unachanganya na dagaa waliosagwa na unga wa muhogo) alafu na rosti ya dagaa na rosti ya matembele, aiseeee!
Lazima afya ikutembelee apoUgali dona la moto (dona la home made-unanunua unga wa dona unachanganya na dagaa waliosagwa na unga wa muhogo) alafu na rosti ya dagaa na rosti ya matembele, aiseeee!
Tukiishi nyumba moja tutaelewana sanaMimi naweza kula ugali mwaka mzima, wali, ndizi huwa naona kama sio chakula..
Naonaga kama ni vitafunwa kwenye breakfast na sio mlo kamili.
Bila kula ugali naona kama sijala chakula kabisa.
Daaaaa yani mkuu wewe ni mimi kabisa yaani. Majani ya kunde, maboga huniambii kitu.Yaani b
ila kusahau mboga za majani ninapenda sana kula na majani ya kunde, majani ya maboga, majani ya mihogo au mchunga.
Kwani wewe unakulaga sembe?? Kama ndio karibu kwenye donaMkuu ndani ya dona huwezi kufunga choo, ni win win situation
Jitahidi uwe unakula uzoee dona mkuu, sembe itakuletea kitambi kisicho cha lazimaNinakula sembe nikikosa dona mkuu
ha ha ha uko sawa kabisa mie nilijaribu kuupunguza kipindi fulani hivi maana nilikua na kakitambi amaizing!! maana kazi zenyewe nafanya za kukaa mda mrefu!!Siri moja ya ugali una kupa nguvu nyingi. Kama kazi unayofanya haihitaji nguvu inabidi ufanye mazoezi kuunguza nguvu amasivyo ni kitambi
Yaani kila nikijitahidi hii inanishinda ushamba huuWadada wa mjini mkuu wamezoea kula kwa kisu na uma.
Alafu inaonekana unajali sana afya yako kupitia chakula, nimekusoma kwenye thread mbali mbali.Tukiishi nyumba moja tutaelewana sana
wekeni basi na ile ngoma ya juma nature kiroboto iendelee kuburudisha huu uzi wakati tunapata comment murua kuhusu ugali