hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
Hakuna limit kwa mtu katika suala la utafutaji chief "..Nipe maana ya neon limit kwa Kiswahili na kiingereza.
Hakuna limit kwa mtu katika suala la utafutaji chief "..Nipe maana ya neon limit kwa Kiswahili na kiingereza.
You are no longer free if you works for somebody or GOD.Ukitazama dhana nzima ya maisha ya kwenye dunia ya 3D ni conceptional and ideal. Unachagua tu kitu gani unakimbia/unahangaika nacho mpaka uishe hamu nacho kikufunze na uwe huru nacho.
Mungu on the other end as I try to perceive it though I'm incapable of understanding it all, yeye yupo endless. If you align yourself with God, unamtumikia then anakuweka huru since yeye yupo endless hafungwi na time wala space.
Labda tu unajikuta hufungwi tena na pesa, ajira au mapenzi. Unajikuta tu unaweza kuishi hata porini ukaridhika [emoji41]
Somebody or GOD? Free....You are no longer free if you works for somebody or GOD.
Differentiates dependent and independent concepts.
Well we are on the same page then.GOD as GOD.
Umeelewa nilichoandika?ukomo wa kutafuta haupo na hakuna kabisa chief "... acha kujipa hayo mawazo hasi