Wapenda makuu ni matatizo katika jamii.

Wapenda makuu ni matatizo katika jamii.

ukomo wa kutafuta haupo na hakuna kabisa chief "... acha kujipa hayo mawazo hasi
Hizo ni tamaa mkuu.
Usidhani MUNGU ni mjinga kuweka kiasi!
Ndio maana kuna dhambi ya ulafi! moyo wa kuridhika ndio MUNGU anaoupenda.
Tamaa humuingiza mtu kubaya ndio maana nikawambia wadau hapo juu limit au uwezo ukishafikia basi wajikubali kwani hawawezi tafuta Zaidi ya hapo.
Kila mtu na uwezo wake boss.
 
Haina haja ya kuumiza kichwa sana kwani mwisho wa watu wanaopenda vitu vilivyoko nje ya uwezo wao huishia pabaya.
Watu wanaopenda umaarufu wasiouweza, utajiri/mali, nafasi za kazi n.k ndio huishia kwenye uuaji, ushirikina/uchawi/ushetani, madawa ya kulevya, wizi, ushoga, umalaya mwishowe ni kifo kwa sababu MUNGU hatakuacha ufanye uharibifu wote huu mbele ya wapendwa/wateule wake.

Maisha ni kujikubali/kuridhika vile ulivyo kupapatikia usiyoyaweza utaishia pabaya.
Ukitaka uishi maisha ya furaha ridhika na hali yako vinginevyo utataabika na utakua unahaha kama mbwa anaeachama juani akitembea barabarani.
Mwisho wa makuu ni dhambi, magonjwa hasa ukimwi, laana na mikosi maishani mwako mwishowe ni kifo.
Jamii ya hawa viumbe ni mkosi/matatizo popote pale duniani.
Uzuri mifano tunayo kwenye jamii kwa hiyo yujifunze tusirudie makosa.
Yaani maisha sijui yakoje! Hebu iweke vizuri mkuu labda huenda sielewi kujikubali kukoje! Ni kuridhika(kurizika sijui sahihi ni lipi) na ulichonacho/unachokipata bila kuongeza juhudi za kutafuta kikubwa zaidi? Utajuaje kama ulichonacho ndio ulochopangiwa? Utajiaminisha vipi hakuna kikubwa zaidi kwa ajili yako?
 
Utafanyaje sasa kama huwezi zalisha au ingiza Zaidi ya ulicho nacho?
Hapo ni kujikubali mkuu na kuendelea na hicho/hivo ulivyo navyo.
Kikomo kipo pale ambapo huwezi lazisha Zaidi ya uwezo wako.
Tusidanganyane mkuu! We unasema tusidishe jitihada pale tunapohisi ni kikomo kumbe ni mwanzo wa kutumia njia haramu za kishetwaini kujipatia mali.
Cc Mzigua90 Mc cane
daahh so sad "... akili haina ukomo wa kuzalisha chief " ukijiona kuwa hauwezi kuzalisha au ingiza zaidi ya ulichonacho " jitahidi kutafuta mbinu mbadala za uingizaji " tembelea sheeny mbali mbali za wafanya biashara kisha jifunze mbinu mbadala za kuongeza kipato toka Kwao "jitahidi pia kutafuta majalada yanayo zungumzia taarifa chanya za kiuchumi " tafuta taarifa zinazo waongelea watu waliofanikiwa pia kupitia kitu uncahokifanya " wafanye kuwa inspiration wako ".... kama unajimudu safiri walau katika nchi ambayo imepiga hatua ya maendeleo ukiwa katika hiyo nchi fanya studying tour "...

I swear to god " baada ya miezi 6, ya wewe kufanya hivyo utaanza kujiona kuwa nimtu mpya uliye na mawazo mapya kibao yanayo husu uzalishaji chanya

tatizo kitu ambacho watanzania wengi hatukijui ni kwamba " Akili na yenyewe pia inakula kama ambavyo tumbo linavyo hitaji Kula " tofauti iliyopo no kwamba akili huwa haili chakula kama hivi vyakula vya kawaida bali inakula taarifa " na kile ambacho akili inachokula ndio ambacho huwa inakitoa "... So jitahidi Sana kuwa unailisha akili yako taatifa nyanya " itakusaidia kuweza kujikwamua hapo ulipo kwama ..

Mother Confessor
 
Hizo ni tamaa mkuu.
Usidhani MUNGU ni mjinga kuweka kiasi!
Ndio maana kuna dhambi ya ulafi! moyo wa kuridhika ndio MUNGU anaoupenda.
Tamaa humuingiza mtu kubaya ndio maana nikawambia wadau hapo juu limit au uwezo ukishafikia basi wajikubali kwani hawawezi tafuta Zaidi ya hapo.
Kila mtu na uwezo wake boss.
usichokijua tu nikwamba hauwezi kumtenganisha binaadamu mbali na tamaa "... Tamaa ndio msingi wa kwanza wa maendeleo ya kidunia ...

huwezi kuoa kama huna tamaa ya kuwa ndani ya ndoa
hauwezi kuwa na nyumba .elimu nzuri .familiar bora etc kama huna tamaa ya kuwa na hivyo vitu "... kilichopo tu ni kwamba haupaswi kuwa na tamaa mbaya " itakayo weza kuiachia madhara jamii ama ... ndoto/malengo mafanikio chanya vyote ni mizizi ya tamaa Yenye mtazamo wa kujijenga
 
Yaani maisha sijui yakoje! Hebu iweke vizuri mkuu labda huenda sielewi kujikubali kukoje! Ni kuridhika(kurizika sijui sahihi ni lipi) na ulichonacho/unachokipata bila kuongeza juhudi za kutafuta kikubwa zaidi? Utajuaje kama ulichonacho ndio ulochopangiwa? Utajiaminisha vipi hakuna kikubwa zaidi kwa ajili yako?
Kuna ukomo wa kutafuta ndugu!
Ukiona huwezi tafuta Zaidi ya hapo basi ndio hali yako wapaswa kuikubali.
Huwezi tafuta Zaidi ya uwezo wako ndio maana hata matajiri wa dunia kama bill gates, jeff Bezos wana ukomo wao.
 
usichokijua tu nikwamba hauwezi kumtenganisha binaadamu mbali na tamaa "... Tamaa ndio msingi wa kwanza wa maendeleo ya kidunia ...

huwezi kuoa kama huna tamaa ya kuwa ndani ya ndoa
hauwezi kuwa na nyumba .elimu nzuri .familiar bora etc kama huna tamaa ya kuwa na hivyo vitu "... kilichopo tu ni kwamba haupaswi kuwa na tamaa mbaya " itakayo weza kuiachia madhara jamii ama ... ndoto/malengo mafanikio chanya vyote ni mizizi ya tamaa Yenye mtazamo wa kujijenga
Kila kitu kina kipimioa chako mkuu.
Hata tamaa inakipimo chake ikivuka ni disaster au matatizo katikafamili, jamii na taifa.
Kwa mfano ulimtamani mkeo kwanza ndio ukamuoa je ni halali kila mwanamke unaemuona popote pale ukamtamani umchukue? je utachukua wangapi hii dunia?
Jibu ni no lazima uwe na kiasi na ndicho MUNGU anachokitaka.
Ukizidisha tamaa ni mwanzo wa maovu.
 
daahh so sad "... akili haina ukomo wa kuzalisha chief " ukijiona kuwa hauwezi kuzalisha au ingiza zaidi ya ulichonacho " jitahidi kutafuta mbinu mbadala za uingizaji " tembelea sheeny mbali mbali za wafanya biashara kisha jifunze mbinu mbadala za kuongeza kipato toka Kwao "jitahidi pia kutafuta majalada yanayo zungumzia taarifa chanya za kiuchumi " tafuta taarifa zinazo waongelea watu waliofanikiwa pia kupitia kitu uncahokifanya " wafanye kuwa inspiration wako ".... kama unajimudu safiri walau katika nchi ambayo imepiga hatua ya maendeleo ukiwa katika hiyo nchi fanya studying tour "...

I swear to god " baada ya miezi 6, ya wewe kufanya hivyo utaanza kujiona kuwa nimtu mpya uliye na mawazo mapya kibao yanayo husu uzalishaji chanya

tatizo kitu ambacho watanzania wengi hatukijui ni kwamba " Akili na yenyewe pia inakula kama ambavyo tumbo linavyo hitaji Kula " tofauti iliyopo no kwamba akili huwa haili chakula kama hivi vyakula vya kawaida bali inakula taarifa " na kile ambacho akili inachokula ndio ambacho huwa inakitoa "... So jitahidi Sana kuwa unailisha akili yako taatifa nyanya " itakusaidia kuweza kujikwamua hapo ulipo kwama ..

Mother Confessor
Ingekua ni hivyo mkuu basi darasani ungekua unakua wa kwanza kila mtihani.
Mimi nakuambia kila kitu kina ukomo wake, binadamu ana ukomo wake wa kuishi, mimea nayo ina ukomo wake wa kurefuka, samaki na wanyama nao wanaukomo wao wa kukua hata waleje kikomo kikifikia ni basi.
Yani kila kitu kinakipimo hata usiku na mchana and so on.
 
hiyo siku utakayo kufa ndio itakuwa siku yako " ingekuwa sio siku yako usingekufa kwenye hiyo siku "... lakini ni lazima iwe na sababu
Kila kiumbe kina siku zake zilizopangwa na MUNGU za kuishi hapa duniani.
Unaweza kuiifikia hiyo siku au usiifikie kutokana na matendo yako hapa duniani.
Kama huamini kashike nyaya za umeme au katumbukie pale ziwani halafu tuone je ni siku zako ama sio siku zako.
 
Ingekua ni hivyo mkuu basi darasani ungekua unakua wa kwanza kila mtihani.
Mimi nakuambia kila kitu kina ukomo wake, binadamu ana ukomo wake wa kuishi, mimea nayo ina ukomo wake wa kurefuka, samaki na wanyama nao wanaukomo wao wa kukua hata waleje kikomo kikifikia ni basi.
Yani kila kitu kinakipimo hata usiku na mchana and so on.
Unajua kuwa umeumbwa na free will na hiyo concept ya ukomo ni kama njia tu ya kukudhibiti, jifunze kuhusu infinity. The possibilities are endless you just have to want it hard enough
 
Kila kitu kina kipimioa chako mkuu.
Hata tamaa inakipimo chake ikivuka ni disaster au matatizo katikafamili, jamii na taifa.
Kwa mfano ulimtamani mkeo kwanza ndio ukamuoa je ni halali kila mwanamke unaemuona popote pale ukamtamani umchukue? je utachukua wangapi hii dunia?
Jibu ni no lazima uwe na kiasi na ndicho MUNGU anachokitaka.
Ukizidisha tamaa ni mwanzo wa maovu.
nadhani umejibu tu lakini hata haujaielewa vyema statement " yangu kwa mtindo huu kuna kazi kubwa sana ya kukuelewesha ", kwa sababu inaonekana tayari una matokeo yako uliyoyaandaa mfukoni "..

hivi kweli umeshindwa kuelewa mantiki ya tamaa yenye mtazamo chanya " isiyokusudia kuwaumiza watu wengine !?
 
Unajua kuwa umeumbwa na free will na hiyo concept ya ukomo ni kama njia tu ya kukudhibiti, jifunze kuhusu infinity. The possibilities are endless you just have to want it hard enough
Kwa mfano kama umeamua kumtumika MUNGU wewe ni free?
Haupo tena huru kama unamtumika mtu Fulani au MUNGU.
Keep it in mind.
 
nadhani umejibu tu lakini hata haujaielewa vyema statement " yangu kwa mtindo huu kuna kazi kubwa sana ya kukuelewesha ", kwa sababu inaonekana tayari una matokeo yako uliyoyaandaa mfukoni "..

hivi kweli umeshindwa kuelewa mantiki ya tamaa yenye mtazamo chanya " isiyokusudia kuwaumiza watu wengine !?
Nadhani ndio limit ninayosemea.
 
Kila kiumbe kina siku zake zilizopangwa na MUNGU za kuishi hapa duniani.
Unaweza kuiifikia hiyo siku au usiifikie kutokana na matendo yako hapa duniani.
Kama huamini kashike nyaya za umeme au katumbukie pale ziwani halafu tuone je ni siku zako ama sio siku zako.
ukienda kushika then ukafa huo unakuwa ndio wakati wako ambao ulipangiwa " kinachotokea tu inakuwa ni kwamba roho ya mauti imekuvaa then ina ku control uende kufanya jambo litakalo pelekea kupatikana sababu ya mauti yako'''.....

unaposema kuwa unaweza kuifikia au usiifikie it means unajua siku hiyo ya kufa kwako au kwa mtu fulani ni siku fulani ", ... so waweza kutuambia umepangiwa lini kufa ,"!!?
 
Vifo vingine ni uzembe wa binadamu na majidai.
Wewe unaona sehemu Fulani ni hatari halafu unakwenda kwa masifa na show off unategemea nini sasa?
Uje useme ulipangiwa hiyo siku? mimi napinga mkuu pia hakuna mtu anaejua siku yake ya kufa labda MUNGU amuongoze.
Hili nimeli experience hasa kwa wazee siku zao za mwisho hata watu maafuru.
 
Nimekueelwa mkuu. ktk mambo ya utawala wa kihirakia kuna kanuni ya Peter ktk kupanda vyeo. mtu anaweza kupanda cheo mpaka kufikia ukomo wake fulani. ukimpandisha zaidi unatengeneza bomu. Maana hawezi kutawala zaidi ya kiwango kile.
 
Kwa mfano kama umeamua kumtumika MUNGU wewe ni free?
Haupo tena huru kama unamtumika mtu Fulani au MUNGU.
Keep it in mind.
Ukitazama dhana nzima ya maisha ya kwenye dunia ya 3D ni conceptional and ideal. Unachagua tu kitu gani unakimbia/unahangaika nacho mpaka uishe hamu nacho kikufunze na uwe huru nacho.
Mungu on the other end as I try to perceive it though I'm incapable of understanding it all, yeye yupo endless. If you align yourself with God, unamtumikia then anakuweka huru since yeye yupo endless hafungwi na time wala space.
Labda tu unajikuta hufungwi tena na pesa, ajira au mapenzi. Unajikuta tu unaweza kuishi hata porini ukaridhika [emoji41]
 
Back
Top Bottom