Ni ngumu sana kuishi na wapenda anasa

Ni ngumu sana kuishi na wapenda anasa

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,786
Reaction score
3,067
Haijalishi ni nani awe ndugu, mtu wa mbali au yeyote yule.

Hawa watu ni mikosi…

Kwao ni bora wapate kitu mioyo yao inayohitaji pasipokujali wanadhuru wengine. Fahari na starehe za dunia ndio haja ya mioyo yao.

Ndio hapa tunapopata kundi la watu wenye roho mbaya kama psychopath, bi-polar, egocentric(Yani wajiskia kuwa ni wao tuu wala hakuna wengine) na wakatili wengine hatari sana hapa duniani. Tunaweza kujifunza hawa watu kupitia level ya familia, mtaani, kitaifa na kidunia.

Mojawapo ni watu maarufu kama Mobutu, Iddi Amin, wenye utajiri usioeleweka n.k

Kwa wao ni haki kabisa kuua mtu yeyote awe mzazi, mtoto wa kuzaa, ndugu, mpenzi au yeyote yule ili wapate haja ya mioyo yao.

Ni wale watu unaosikia wameua ndugu zao, wamewapeleka msukule, wamewauza, wamewafanyisha kazi zenye kuwaumiza na udhalilishaji wa hali ya juu.

Ukiwa study hawa watu unashauriwa kutozozana nao kabisa bali kujishusha na mwishowe kukaa mbali kabisa na wao bila mawasiliano.

Hata kwenye maandiko matakatifu wametiliwa mkazo kabisa. Wengi wa ni wafu walio hai.

Soma 1 Timotheo 5:6

Kundi hili la watu ni nuksi na mkosi.

Wengi wao huishia pabaya kwa sababu ya dhambi zao. Ikumbukwe hata biblia inaonya sana anasa za dunia kuwa ni mbaya. Wengi huishia kifo cha mapema, kuwa kwa magonjwa, miili yao kutumiwa vibaya na dhambi nyingine kibao.

NB:Nawaonya sana wale watoto na wengine wote wanaona mbali watafute namna ya kuyaokoa maisha yao mapema. Pia wale waungwana na wasamaria tunaomba sana msaada wenu pale mnapoona fulani anaonewa pasipo sababu ya msingi.
Heal the word... kama Michael Jackson anavyosema kwenye moja ya kazi zake!
 
Before i become i PI niliwa kuingia kwenye relation na mtu wa aina hii. And let me tell they are good at hiding !

I mean watafanya lolote chochote ili sifa zao zisififie, watafanya lolote chochote ili watimize malengo yao( kuua ,kusaliti, kuiba, kufake).

Narc and sociopath hawana huruma, trust me wakikuoma kama ww ni kizuiz kwenye mambo yao watakufanya kitu mbaya hata kama mko kwenye mahusiano.
 
Haijalishi ni nani awe ndugu, mtu wa mbali au yeyote yule.

Hawa watu ni mikosi…

Kwao ni bora wapate kitu mioyo yao inayohitaji pasipokujali wanadhuru wengine. Fahari na starehe za dunia ndio haja ya mioyo yao.

Ndio hapa tunapopata kundi la watu wenye roho mbaya kama psychopath, bi-polar, egocentric(Yani wajiskia kuwa ni wao tuu wala hakuna wengine) na wakatili wengine hatari sana hapa duniani. Tunaweza kujifunza hawa watu kupitia level ya familia, mtaani, kitaifa na kidunia.

Mojawapo ni watu maarufu kama Mobutu, Iddi Amin, wenye utajiri usioeleweka n.k

Kwa wao ni haki kabisa kuua mtu yeyote awe mzazi, mtoto wa kuzaa, ndugu, mpenzi au yeyote yule ili wapate haja ya mioyo yao.

Ni wale watu unaosikia wameua ndugu zao, wamewapeleka msukule, wamewauza, wamewafanyisha kazi zenye kuwaumiza na udhalilishaji wa hali ya juu.

Ukiwa study hawa watu unashauriwa kutozozana nao kabisa bali kujishusha na mwishowe kukaa mbali kabisa na wao bila mawasiliano.

Hata kwenye maandiko matakatifu wametiliwa mkazo kabisa. Wengi wa ni wafu walio hai.

Soma 1 Timotheo 5:6

Kundi hili la watu ni nuksi na mkosi.

Wengi wao huishia pabaya kwa sababu ya dhambi zao. Ikumbukwe hata biblia inaonya sana anasa za dunia kuwa ni mbaya. Wengi huishia kifo cha mapema, kuwa kwa magonjwa, miili yao kutumiwa vibaya na dhambi nyingine kibao.

NB:Nawaonya sana wale watoto na wengine wote wanaona mbali watafute namna ya kuyaokoa maisha yao mapema. Pia wale waungwana na wasamaria tunaomba sana msaada wenu pale mnapoona fulani anaonewa pasipo sababu ya msingi.
Heal the word... kama Michael Jackson anavyosema kwenye moja ya kazi zake!
Amin alikua na anxiety disorder

Yani hakumuamini mtu na aliogopa sana watu na usiku alikua halali kuofia kuuliwa
 
anasa nini? toa mifano kadhaa tuelewe vizuri hii mada yako.
 
Back
Top Bottom