Wapelekeni wake zenu 'vacation' kuboresha penzi

Wapelekeni wake zenu 'vacation' kuboresha penzi

Inabidi nimtumie babe wangu hii link asome huu ushauri. Haiwezekani kila likizo za sikukuu ananituma kijijini kusalimia wazazi eti ndio vacation🥲
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutoke tu jamani, tukasafishe macho
Mwanamke hajali kama utampeleka vacation au la, eti ukimpeleka mdada vacation ndo utaamsha mapenzi yake, hakuna kitu kama hicho, kama mdada anakuona nyani na hakupendi, hata ukimpeleka vacation, Dubai, Santorini au Ibiza ataendelea kukuona nyani ni tu na hatokupenda, tena si ajabu akawa anakukimbia huko vacation, asitake aonekane akiwa na wewe Donatila
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada inayosema, wapelekeni wake zenu vacation kuboresha penzi.

Mazingira ya aina moja huchosha hasa kwa wanandoa kwakuwa wanakuwa na mazoea na kuzoeana.

Hata chumba nacho cha wanandoa kinachosha pia maana kila mara mpo pale pale mnaingia na kutoka.

Mazoea katika mapenzi hasa kwa wanandoa yamekuwa ni moja ya kikwazo kikubwa sana kinachopelekea mapenzi kupungua kwa wenza.

Vacation inafaa sana hasa katika kuboresha na kuamsha mapenzi mpya.

Hivyo ni vyema wanaume wakatumia muda wao kwenda mbali na wenza wao kwa kwenda kufurahi na kubadili mazingira.

Hapa wanaume wafanye kulingana na mifuko yao, maana Kila mmoja anajua namna uwezo wake ulivyo.

Ni msimu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya ni wakati mzuri wa kujipa likizo na kujitoa mbali kidogo.
Mapenzi hayana formula mkuu kuna watu wako mbagala rangi 3 wanakaa chumba kimoja na watoto watatu na wengine wameshaanza shule tayari ila wana amani na wana miaka 15 kwenye ndoa ila manara wake zake kawapeleka Qatar kwenye world cup akaenda nao Dubai na zanzibar ila hata mwaka hawakufika mi naamini mapenzi hayana formula dokta mwaka na vacation zote ila mke kakimbia kwenye ndoa usi generalize kwenye mapenzi.
 
Acha tuendelee kulima zetu parachichi[emoji3][emoji3]

IMG_0331.jpg

[emoji28]
 
Back
Top Bottom