Chakorii nataka nikutoe out December hii, twende vacationAaahh…ee bana
Jiandae wizo twende makete 😜😂😂 Kakaako haeleweki. Bora uje kunichukua my wii
Mikusu ni nini?😂😂😂Sasa tufanyaje ndugu zaidi ya kuokota mikusu
IST ulishindwa miaka 10 sasa utaweza hiyo😀😀 acha niendelee kuvuna Tikiti zangu nilizolimaView attachment 2843921
[emoji28]
Matunda yaMikusu ni nini?
Ngoja nifue shangaz kaja langu😂😂😂Jiandae wizo twende makete 😜
Yanaliwa haya ?Matunda ya View attachment 2843984porini
😂😂😂Ngoja nifue shangaz kaja langu😂😂😂
Hanna kibonge visheti upo? Umeshaenroll masters?Inabidi nimtumie babe wangu hii link asome huu ushauri. Haiwezekani kila likizo za sikukuu ananituma kijijini kusalimia wazazi eti ndio vacation🥲
😂😂😂 Acha ukorofi bhanaHanna kibonge visheti upo? Umeshaenroll masters?
Mdogo wangu huyu😂, sema ni kajinga sana😂😂😂 Acha ukorofi bhana
Leo umeamka na pepo la ugomvi 😂😂😂Mdogo wangu huyu😂, sema ni kajinga sana
Nipo loose hapa nikasema ngoja niingie jf kuna nn huku, ghafla ndio namuona hannaLeo umeamka na pepo la ugomvi 😂😂😂
Niletee niyaonjeMatunda ya View attachment 2843984porini
Kwa hiyo Dec hii twende wapi mama!
IST ulishindwa miaka 10 sasa utaweza hiyo[emoji3][emoji3] acha niendelee kuvuna Tikiti zangu nilizolima
Nakuangalia tu hapa😀😀 tena ni miaka 15 siyo 10😀Miaka kumi[emoji23][emoji23][emoji23]