Aaahh…ee banaJembe mkuu
HahahahahaHaya mambo ni ya wazungu na wenye hela mie mkulima wa mapera wacha nitulie tu
Na ni kweli Watu wana matatizo wala si uongo,, holiday yangu ngoja nikawatembelee wenye matatizo mbalimbali nikijaaliwa afya ya mifupa,, Damu na Nyama!!Ndio maana nasema ukiona hata December hujiwezi kwenda bagamoyo tu hapo ,kushaangaa magofu , wewe una tatizo
Swadakta kabisa mkuu, ubarikiweNa ni kweli Watu wana matatizo wala si uongo,, holiday yangu ngoja nikawatembelee wenye matatizo mbalimbali nikajaaliwa afya ya mifupa,, Damu na Nyama!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mama mchunga wewe.Ila unawakusuuza rungu [emoji1787][emoji1787]
✊✊Swadakta kabisa mkuu, ubarikiwe
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada inayosema, wapelekeni wake zenu vacation kuboresha penzi.
Mazingira ya aina moja huchosha hasa kwa wanandoa kwakuwa wanakuwa na mazoea na kuzoeana.
Hata chumba nacho cha wanandoa kinachosha pia maana kila mara mpo pale pale mnaingia na kutoka.
Mazoea katika mapenzi hasa kwa wanandoa yamekuwa ni moja ya kikwazo kikubwa sana kinachopelekea mapenzi kupungua kwa wenza.
Vacation inafaa sana hasa katika kuboresha na kuamsha mapenzi mpya.
Hivyo ni vyema wanaume wakatumia muda wao kwenda mbali na wenza wao kwa kwenda kufurahi na kubadili mazingira.
Hapa wanaume wafanye kulingana na mifuko yao, maana Kila mmoja anajua namna uwezo wake ulivyo.
Ni msimu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya ni wakati mzuri wa kujipa likizo na kujitoa mbali kidogo.
🤣🤣🤣Vocation mbona ziko nyingi tu hata bafuni, chooni ngoma inaimba hehehe
Unataka tuwapeleke polini ?
[emoji3]Inabidi nimtumie babe wangu hii link asome huu ushauri. Haiwezekani kila likizo za sikukuu ananituma kijijini kusalimia wazazi eti ndio vacation🥲
Huu upendo wa namna gani?Nawapenda sana sababu[emoji1787][emoji1787]
Mwambie abonyeze kitufe na kazi itakuwa imeisha hiyoMaelekezo ni kwamba! Mtoto anataka kwenda kuzunguka Atown mbuga za wanyama ni nyingi huko
Bila kusahau misosi!