Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,983
- 100,180
Hahahahaha, hii December ni Family Matter zaidiHongera sana mkuu, naliona furaha ya mkeo...
Ya kitandani yataongezeka Sasa [emoji1787]
Hahahahaha, hii December ni Family Matter zaidiHongera sana mkuu, naliona furaha ya mkeo...
Ya kitandani yataongezeka Sasa [emoji1787]
Ukiona December ineisha na umeishia ulipo dah ujue wewe una tatizoHata kule ushoroba fresh tu kikubwa tutoke kidogo huku swekeni
Hata ukiwa single we jitoe tu utakutana na mwenzio hukohukoUkiona December ineisha na umeishia ulipo dah ujue wewe una tatizo
Ndio maana nasema ukiona hata December hujiwezi kwenda bagamoyo tu hapo ,kushaangaa magofu , wewe una tatizoHata ukiwa single we jitoe tu utakutana na mwenzio hukohuko
Halafu wala si ishu kubwa ki vileNdio ni kifamilia tu...
Yaani ni muda wa kukaa na mkeo na watoto kwa pamoja, kazi nazo zinawaweka mbali wakati mwingine.
love at first sight sio😂Hata ukiwa single we jitoe tu utakutana na mwenzio hukohuko
Nikifanikiwa kuwa kwenye safari hii mtu wa kwanza kumtafuta ni mleta hii idea.Tutoke tu jamani, tukasafishe macho
Hahaha. Kumbe na wewe chautundu?!Ila unawakusuuza rungu [emoji1787][emoji1787]
Hakuna namna mkuu tutumie tuHaya mambo ni ya wazungu na wenye hela mie mkulima wa mapera wacha nitulie tu
Tutumie nini mkuuHakuna namna mkuu tutumie tu
Jembe mkuuTutumie nini mkuu