WAPANGAJI TUKUTANE HAPA TUPEANA MACHIMBO MAKALI YA KUISHI.

WAPANGAJI TUKUTANE HAPA TUPEANA MACHIMBO MAKALI YA KUISHI.

Utaikuta gate way lounge kila jumamos hua tunapumzikia hapo
 
Nunua hema tu, unakuwa unalihamisha hamisha kutoka mtaa mmoja hadi mwingine, hakuna kulipa kodi.​
 
kama kipato chako ni cha kati....njoo Tabata.

bei range 150lk -200lk single self
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom