Wanyamwezi na wasukuma

Mimi nagisikia kwiimba.

"Mwanamugi wolaa - wola naweeeeeee, ee, wola!
mwanamugi wolaa - wola naweeeeeeee, ee, wola!
Karibuu tusenseme - sensema marunde sensemaaaa, sensemaaaa!
Karibu tusenseme - sensema marunde sensemaaaaa, sensemaaaa!

Umenikumbusha mbali sana....
 
Julius,
Nilihisi utakuwa ni Bariadi maana utani mwingi saana.

Haya Wasukuma mrudi kwenu leo. Akina dada wakimbie maana itaanza sasa hivi Chagulaga mwana mayu.
Jeshini tulikuwa twaimba "Yuyo yuyo wazwa mbele, wakomelile". Ula huu wimbo ulikuwa umekaa kipedopedo maana kasichana ka miaka 13 si bado kadogo?

Haya, wimbo wa homeboy huo, Hamza Kalala....

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=7Xwk2G_OneQ[/ame]
 
Huyu ni nani hapa? Bluray nini? Au ndiyo Masanilo anavuta?

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=MUn0bH_ED0w&feature=related[/ame]

Burning spear aliupenda huu wimbo hadi mwisho na yeye akatunga wimbo hapa na kuiga kidogo. Hebu anzia dakika ya kwanza usikie ........
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=muk_cH2pzNY[/ame]
 
Hii thread imekua ya kikabila maana lugha hii wengine hata hatuijui, basi anzisheni sehemu ya makabila ili watu wakajimwage huko
 
Kweli haya mambo yanatokea kweli hapa JF!
Kwa mtaji huo,Hakuna muelekeo mzuri hata kidogo.Maneno ya Mwl.Nyerere kweli yanazidi kutimia, "Tanzania ya leo watu wanaongelea UKABILA"?
Sasa tukiamua kila kabila walete "Thread" zao humu si itakuwa balaa,vurugu tupu na apatoshi humu ndani.
Eebu ondoeni ujinga wenu hapa.
 
Hii thread imekua ya kikabila maana lugha hii wengine hata hatuijui, basi anzisheni sehemu ya makabila ili watu wakajimwage huko

Mkuu,
Jamaa alileta ukabila na ndugu zake wakamwangukia. Ila ili kumhifadhi basi wakaanza kumpa maneno yake kwa Kisukuma. Wasukuma kwa utani ni wacha na hasa wanapokuwa kwenye lugha yao na hapo mambo yakaanza kuwa out of control na wengi wakawa wamerudi nyumbani kidogo.



Mbona matusi tena? Unataka utukanwe kwa kikwetu? Si ungeuliza kwanza ujue nini kinaongewa kuliko kuanza kushambulia watu? Anyway, jibu nimeandika hapo juu, SOMA.

Next time uliza kwanza uambiwe nini kinaongewa. Hapa kalianza ka ugomvi ka wenyewe na ikabidi kijana wetu awekwe chini na kufundwa kikwetu. Sasa huo wewe unaona ni UJINGA?
Lelingangi, malomo kutyempuka kiti "ndili" ya mkikulu.
 
Acha utani mbona 6 na my wife wapo Serikalini na Bunge linaendeshwa kwa speed and Standard, my wife wake anaendesha ile wizara na hakuna tuhuma zozote.
 
Hapa Bageshi umenikumbusha mbali sana kwenye harusi ya babu alipomuoa bibi madada zangu walipandela wakimwaga maua ilikuwaga ni furaha sana nkwingwa.
 
Mhhh sikujua kama tupo wengi hivi humu ndani.
 
Hii thread imekua ya kikabila maana lugha hii wengine hata hatuijui, basi anzisheni sehemu ya makabila ili watu wakajimwage huko
Kama huelewi umekuja kufanya nini hapa si kuna thread zingine unaweza kusoma?
 
Nilipokuwa nikivua samaki pale Kayenze nilipenda sana kuimba wimbo huu

Banike ba Igoma(mhhhhhh) balemile mbota(mhhhhhhh) bigongeja njose mabele konungela.
 
Sikonge,
Unakumbuka Jonh Cheyo alivyomwambia Sita pale Bungeni? kwamba "hizo sitandadi na sipidi sisi wapinzani tumekuja kuziwekea boreki."
 

Na mimi nikianza kumwaga cha nyumbani........!!!?,I am civilized man.
 
Na mimi nikianza kumwaga cha nyumbani........!!!?,I am civilized man.

Ukifungua thread na kuiandika tuseme "Wagogo Wajinga" au " Wahehe Wehu" au "Wamakonde na II usoni......" basi huko wee mwaga kila kitu. Sisi hatutakuja kabisaa kukushupalia. Ila ukiwa peke yako usilielie baadaye.

Kama ukianza kuandika hapa kikwenu wakati unaona Wanyamwezi/Wasukuma wako kwenye MILA zao, basi utakuwa ni UCHAFU. Uchafu ni kwamba, hata saa ya bei mbaya au mkufu wa dhahabu, ukiwekwa sehemu isiyotakiwa, unakuwa UCHAFU.

Mkuu, Wasukuma/Wanyawezi ndiyo wastaarabu. Miaka yote tunachagua Rais kutoka makabila mengine. Si unaona tu tulivyo wengi? Hatuleti migomo, maandamano, fujo nk. Hatuna kabisaa sifa za ukabila. Pamoja na hilo lote bado wee unaona sisi si WASTAARABU? JAMANIII!!!!!
 
Nyie mbona mnaleta ukabila humu? sote tukianza itakuwaje?

Na mimi naanza, Kamwene, Makhasi?
Hakuna aliyeleta ukabila tunakumbushiana mila na tamaduni zetu,ni kama vile wale wanaoanzisha thread za shule walizosoma enzi zile ni kwamba wanataka kukumbushana enzi hizo. Kwa hiyo mkuu hapa hakuna ukabila hata kidogo. Mbona kuna watu wanaongelea sana mkoa wa Mbeya au na wao ni wabaguzi wa kimikoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…