Wanyakyusa ni wahanga wa CCM?

Wanyakyusa ni wahanga wa CCM?

Status
Not open for further replies.
Lelo masiku ghasyele mafinyu, tukubhuka kuamula akindu kakubhomba, papo tukatele ni mbombelo syabho kubhaanitu!
 
mbeya ni lango!!.ss inabidi kuomba ili kuondoa hili wingu!
 
Mkuu suala hilo halikutokea "Unyakyusani" bali sehemu za kuelekea Rukwa/Mpanda.

Unavyosema ni sawa na kulaumu wachagga kwa kitu kilichotokea upareni!


JK alipigwa mawe Chunya, wilaya mojawapo ya mkoa wa Mbeya, na sio Rukwa.

Ila nakumbuka hata enzi za Nyerere, Wanyakyusa wa Kyela katika kupinga mpango wa operation maduka ya ushirika na kufungwa maduka binafsi miaka ya 1970, walimzomea Abdu Jumbe. Alisema TANU oyee wakasema ziii! Kwa enzi za Nyerere kuwa na ujasiri huo halikuwa jambo la kawaida, lakini Wanyakyusa waliweza! Nyerere aliwatetea akasema hakuamrisha maduka binafsi yafungwe, Kawawa aliyafunga kwa kutomwelewa alichomaanisha!
 
Si dhani kama kibamba ni Mnyakyusa, nilijua ni mnyalu au Msagala wa pale kijiji cha Mahenge karibu na kitonga ukitoka Ruaha Mbuyuni maana nilioneshwa nyumba nikaambiwa ni ya kwake.
 
Wanyakyusa wanajulikana kwa misimamo yao isiyoyumba na kutetea ukweli halisi.
Usisahau na Mwakyembe, Prof Mwandosya-proud people who would radher die with the truth upheld.

Tuliwahi kuweka hii list huko nyuma;

Mwaikambo (Gibbons)
Mwandosya
Mwangosi
Ulimboka
Kibanda
Mwakyembe
Mwaibabile (alikuwa mwandishi jembe sana Songea, akafungwa kwa "nyaraka za siri za serikali")
Kibona
Mwakipesile (aliuwawa Rungwe)
Jwan Mwaikusa


Nawashauri machifu wa Kinyakyusa wajenge Mnara wa Kumbukumbu kuwa-enzi vijana wao
 
Wanyakyusa wanajulikana kwa misimamo yao isiyoyumba na kutetea ukweli halisi.
Usisahau na Mwakyembe, Prof Mwandosya-proud people who would radher die with the truth upheld.

Baba MwanaAsha has never been confortable with these people; I believe the state must have a hand in all these atrocities otherwise all these incidences cannot be by coincidence!!
 
Si dhani kama kibamba ni Mnyakyusa, nilijua ni mnyalu au Msagala wa pale kijiji cha Mahenge karibu na kitonga ukitoka Ruaha Mbuyuni maana nilioneshwa nyumba nikaambiwa ni ya kwake.


Absalom Kibanda ni mtoto wa Kapyela alikuwa injinia wa maji na kwao ni Rungwe!!
 
Jamani wana jamii wenzangu nauliza hivi hawa Wanyakyusa wamefanya nini! ,Ulimboka,Mwangosi na Absalom Kibanda?

Nadhani kuna jambo la msingi sana kuhusu tabia za Wanyakyusa. Nakumbuka tukiwa shule sekondari tuliona viranja wa Kinyakyusa kuwa manazi kweli kutokana na utendaji wao wa "no non-sense", na wakati walimu waliwapenda sana kwa kuona walikuwa wanasaidia kuleta discipline shuleni!
 
Bila shaka unachongo, unaangalia kitu kimoja kutaja jina. Kuna mambo mengi wamefanya zaidi ya kutaja jina moja tena wametaja majina makubwa pamoja na mfumo wake wote. Kutaja jina lakibaka aliyetumwa kufanya uhalifu sio ujasiri ni kutojua chanzo cha tatizo 'root course of the problem. Kijana anayetumwa kuteka, kutesa anajua nini zaidi ya aliyemtuma?
wanafiki hao wote.mbona hawakuwataja waliodai wamewawekea sumu?
 
Tatizo la sisi wanyakyusa tunaviongozi wazuri ila wameng'ang'ania Chama cha Magamba.. Tokeni huko ndugu zangu hicho chama kitatumaliza,, kama sio Mungu leo Mwakyembe, Mwandosya, Ulimboka na Absalom tusinge kuwa nao Kyala nnunu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom