Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Wanyakyusa walimpiga mawe Kikwete pale Mbeya
Nakumbuka hata mkewe alirushiwa makopo ya maji Mwanjelwa!
Wanyakyusa walimpiga mawe Kikwete pale Mbeya
Tuliwahi kuweka hii list huko nyuma;
Mwaikambo (Gibbons)
Mwandosya
Mwangosi
Ulimboka
Kibanda
Mwakyembe
Mwaibabile (alikuwa mwandishi jembe sana Songea, akafungwa kwa "nyaraka za siri za serikali")
Kibona
Mwakipesile (aliuwawa Rungwe)
Jwan Mwaikusa
Nawashauri machifu wa Kinyakyusa wajenge Mnara wa Kumbukumbu kuwa-enzi vijana wao
Hii list inamapungufu Kibonde wa clouds mbona hayupo??????????Tuliwahi kuweka hii list huko nyuma;
Mwaikambo (Gibbons)
Mwandosya
Mwangosi
Ulimboka
Kibanda
Mwakyembe
Mwaibabile (alikuwa mwandishi jembe sana Songea, akafungwa kwa "nyaraka za siri za serikali")
Kibona
Mwakipesile (aliuwawa Rungwe)
Jwan Mwaikusa
Nawashauri machifu wa Kinyakyusa wajenge Mnara wa Kumbukumbu kuwa-enzi vijana wao
Hii list inamapungufu Kibonde wa clouds mbona hayupo??????????
Ha ha haaa.Anajiita mnyakyusa lakini ni mndali.Huyu atakuwa Mnyasa huyu..... anajivika Unyaki tu!!
Wanyakyusa wanajulikana kwa misimamo yao isiyoyumba na kutetea ukweli halisi.
Usisahau na Mwakyembe, Prof Mwandosya-proud people who would radher die with the truth upheld.
Mwakyusa, Mwalubalile,Mwabula,Mwandambo,Mwangende,Mwaigonele,Mwangosi,Mwampyate,Mwansasu,Mwakyambiki,Mwansule,Mwakipango,Mwambuli,Mwakasenyenda,Mwasulama,Mwaipopo,Mwakanyamale,Mwaisumo,Mwampate,Mwakyeni,Mwampamba,Mwampakasya,Mwasambili.Tuliwahi kuweka hii list huko nyuma;
Mwaikambo (Gibbons)
Mwandosya
Mwangosi
Ulimboka
Kibanda
Mwakyembe
Mwaibabile (alikuwa mwandishi jembe sana Songea, akafungwa kwa "nyaraka za siri za serikali")
Kibona
Mwakipesile (aliuwawa Rungwe)
Jwan Mwaikusa
Nawashauri machifu wa Kinyakyusa wajenge Mnara wa Kumbukumbu kuwa-enzi vijana wao
Mwakyusa, Mwalubalile,Mwabula,Mwandambo,Mwangende,Mwaigonele,Mwangosi,Mwampyate,Mwansasu,Mwakyambiki,Mwansule,Mwakipango,Mwambuli,Mwakasenyenda,Mwasulama,Mwaipopo,Mwakanyamale,Mwaisumo,Mwampate,Mwakyeni,Mwampamba,Mwampakasya,Mwasambili.
mwarifu na Mwa.......
Kikao kitakuwa kule Mwakaleli kwa Chifu Mwalugaja.
nitamwarifu na Mwamalundi,Mwasakafyuka,Mwanyangala, Mwamatanga, Mwangongi,Mwamaso,Mwakamyanda,Mwakabhundu,Mwakyolile,Mmwakisu,Mwakijinja,Mwampiki,Mwanjinga,Mwaigolole, Mwaigomole,Mwandema,Mwankonyofu,Mwakusipuka, Mwailuka.......Mwakyusa, Mwalubalile,Mwabula,Mwandambo,Mwangende,Mwaigonele,Mwangosi,Mwampyate,Mwansasu,Mwakyambiki,Mwansule,Mwakipango,Mwambuli,Mwakasenyenda,Mwasulama,Mwaipopo,Mwakanyamale,Mwaisumo,Mwampate,Mwakyeni,Mwampamba,Mwampakasya,Mwasambili.
mwarifu na Mwa.......
Kikao kitakuwa kule Mwakaleli kwa Chifu Mwalugaja.
Jamani wana jamii wenzangu nauliza hivi hawa Wanyakyusa wamefanya nini! ,Ulimboka,Mwangosi na Absalom Kibanda?
Tatizo la sisi wanyakyusa tunaviongozi wazuri ila wameng'ang'ania Chama cha Magamba.. Tokeni huko ndugu zangu hicho chama kitatumaliza,, kama sio Mungu leo Mwakyembe, Mwandosya, Ulimboka na Absalom tusinge kuwa nao Kyala nnunu.
Rudini mkatambike
Absalom Kibanda ni mtoto wa Kapyela alikuwa injinia wa maji na kwao ni Rungwe!!
Jamani Mzee Kapyela(marehemu) si alikuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Chang'ombe?Mtoto wa Eng.Norman Absalom Kibanda Kapyela, kutoka Kisungu Rungwe Mission
Jamani Mzee Kapyela(marehemu) si alikuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Chang'ombe?