Wanyakyusa ni wahanga wa CCM?

Wanyakyusa ni wahanga wa CCM?

Status
Not open for further replies.
Msafara wa kikwete ulisimamishwa na wazee wa Rungwe ili ajibu kwa nini hawachukulii hatua mafisadi, aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Nahodha, alipigwa mawe mbeya, tumezaliwa na Ujasiri tangu tumboni na bado wengine ndo tunakuja kwa kasi sana, huyu ------ tunajua ni mtu wa visasi sana loli lelo kwaganila na nuswe twe bhalya matoki ni mbalaga nulukama lwa kwa mwakaleli nu mpunga gwa kwa kyela nubhusipa bhwa kwasumbi.

Mkwereeee baba MwanaAsha anawapa vyeo viongozi wenu ili kuwafumba macho; lakini ukweli ni kwamba nyie na viongozi wenu hawataki aslani na ameapa kuwamaliza kwa kila hali!! Hao wakina Mwakyembe na Mwandosya kama watafika 2015 [ Mungu awasaidie] itabidi muwaambie wachague aidha kuhamia chama chenye matumaini au muwapige bao kama wenzao wakina Mwakwele na Balala kule Kenya; kwani kubaki kwao huko magambani hakuna tija kwa wananchi wa kwao!!
 
Tatizo la sisi wanyakyusa tunaviongozi wazuri ila wameng'ang'ania Chama cha Magamba.. Tokeni huko ndugu zangu hicho chama kitatumaliza,, kama sio Mungu leo Mwakyembe, Mwandosya, Ulimboka na Absalom tusinge kuwa nao Kyala nnunu.

Wako pale kwa maslahi yao binafsi lakini ni vipofu wasiojua kuwa pale wamewekwa karibu na hao wabaya wao ili wawathibiti wasifurukute!! Wake up you guys, these monsters are going to finish you!!
 
nitamwarifu na Mwamalundi,Mwasakafyuka,Mwanyangala, Mwamatanga, Mwangongi,Mwamaso,Mwakamyanda,Mwakabhundu,Mwakyolile,Mmwakisu,Mwakijinja,Mwampiki,Mwanjinga,Mwaigolole, Mwaigomole,Mwandema,Mwankonyofu,Mwakusipuka, Mwailuka.......
Du nimemaliza kijiji chetu!

Aliko uswege ambangile....
 
wanafiki hao wote.mbona hawakuwataja waliodai wamewawekea sumu?
kaka kwa taarifa tu! Hata hilo neno Mnafiki kule hawalijui! Hayo ni mambo ya wala samaki maji chumvi! Ambako hata tumbo linaponza makalio!
 
>Ukweli tutaendelea kuusimamia bila kumjali wala kumuogopa mtu yeyote
>Kifo aliumbiwa mwanadamu, na hata wauwao nawao watakufa pia.
>LUKA 12:4 "Msiwaogope wauao mwili tu,bali mwenyeuwezo wa kuua mwili na roho"
>UJASIRI,UKWELI,UZALENDO NA KUJITAMBUA KWETU NDICHOCHANZO
>KYALA ALENANUSWE MWE.
 
Kule Mwabepande pamefanana na majina yao ndo maana wanapenda kwenda kuwafanyia finishing huko...............!
 
Leka mbuke kumyitu kwa mwakalili ngabhalalusye abhasololi pi isyeto lya babu gwangu Mwanjonde, ilopa hili abhikuhomba, naloli ngubhabhula sika sunga hisi, amukuketa...!
 
Mwakyusa, Mwalubalile,Mwabula,Mwandambo,Mwangende,Mwaigonele,Mwangosi,Mwampyate,Mwansasu,Mwakyambiki,Mwansule,Mwakipango,Mwambuli,Mwakasenyenda,Mwasulama,Mwaipopo,Mwakanyamale,Mwaisumo,Mwampate,Mwakyeni,Mwampamba,Mwampakasya,Mwasambili.
mwarifu na Mwa.......
Kikao kitakuwa kule Mwakaleli kwa Chifu Mwalugaja.

nitamwarifu na Mwamalundi,Mwasakafyuka,Mwanyangala, Mwamatanga, Mwangongi,Mwamaso,Mwakamyanda,Mwakabhundu,Mwakyolile,Mmwakisu,Mwakijinja,Mwampiki,Mwanjinga,Mwaigolole, Mwaigomole,Mwandema,Mwankonyofu,Mwakusipuka, Mwailuka.......
Du nimemaliza kijiji chetu!

...msiwasahau kuwaalika na Ma-Chifu wenyewe akina Mwakatumbula, Mwambulukutu, Mwakasendo, Mwakalinga, Mwabulambo, Mwamakula, Mwaikambo, Mwakatobe, Mwakibete, Mwakyoma, Mwakalindile, Mwambapa, Mwambene, Mwambungu, Mwamunyange, Mwambola, Mwakibolwa, Mwaikugile, Mwabukusi, Mwaitenda, Mwaikasu, Mwakitwange, Mwanndisi, Mwakifwamba, Mwalusako, Mwasyoge, Mwakalebela, Mwaifuge, Mwandumbya, Mwasumbi, Mwakalile, Mwakifulefule, Mwaikusa, Mwakajinga, Mwakibinga, Mwakagenda, Mwakipesile, Mwaipungu..........dahh!.....naona mke wangu majina mengine kasahau.....
Lole Gwakisa naona umemsahau Mwambipile....hahahah ile story yako siwezi kuisahau......hahahaha
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha!
Ndaga upalile nkamu!
Hao Machifu wana kusikia na kukushukuru huko waliko, mbusyuka!
 
Leka mbuke kumyitu kwa mwakalili ngabhalalusye abhasololi pi isyeto lya babu gwangu Mwanjonde, ilopa hili abhikuhomba, naloli ngubhabhula sika sunga hisi, amukuketa...!

Buka ukikemesye nnkamu_akasufi ka bufye bu_butula nongwa nnkamu
 
...msiwasahau kuwaalika na Ma-Chifu wenyewe akina Mwakatumbula, Mwambulukutu, Mwakasendo, Mwakalinga, Mwabulambo, Mwamakula, Mwaikambo, Mwakatobe, Mwakibete, Mwakyoma, Mwakalindile, Mwambapa, Mwambene, Mwambungu, Mwamunyange, Mwambola, Mwakibolwa, Mwaikugile, Mwabukusi, Mwaitenda, Mwaikasu, Mwakitwange, Mwanndisi, Mwakifwamba, Mwalusako, Mwasyoge, Mwakalebela, Mwaifuge, Mwandumbya, Mwasumbi, Mwakalile, Mwakifulefule, Mwaikusa, Mwakajinga, Mwakibinga, Mwakagenda, Mwakipesile, Mwaipungu..........dahh!.....naona mke wangu majina mengine kasahau.....
Lole Gwakisa naona umemsahau Mwambipile....hahahah ile story yako siwezi kuisahau......hahahaha

Asante mkuu, ila umemsahau na babu yangu Chief Mwansasu.
Machifu watasikia kilio cha wana wao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom