Wanyakyusa ni wahanga wa CCM?

Wanyakyusa ni wahanga wa CCM?

Status
Not open for further replies.

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
1,175
Reaction score
604
Mwaikambo - aliuwawa na serikali ya CCM
Jaji Mwaikusa - firing squad ya CCM ilikatiza maisha yake
Mwakyembe - ameponea chupuchupu kwa sumu ya CCM
Mwandosya - hali yake bado ni tete kwa sababu ya sumu "aliyolishwa" na CCM
Ulimboka - sina haja ya kusema
Mwangosi - hadi dakika hii sisi sote bado tunaugulia jeraha baada ya kufa in cold blood mikononi mwa CCM!

Jamani Wanyakyusa.....litakuwa ajabu la 8 la dunia kama mtaendelea kuwachagua wabunge na raisi kutoka chama "monster" kama hichi.
 
Wakuu nimekutana na ujumbe huu ambao kwa takribani wiki nzima sasa unazunguka kwenye simu.
Hivi kazi ya TCRA ni nini? Huu si uchochezi wa wazi wazi wa kikabila?

Ujumbe huu hapa chini...
Hivi serikali ina shida gani na wanyakyusa?
1. Prof Jwani Mwaikusa alipigwa risasi nyumbani kwake.

2. Mwakyembe alipewa sumu,

3. Mwandosya alipewa sumu

4. Ulimboka kupigwa nusu kuuwawa

5. Daudi Mwangosi wa channel ten kauwawa.

Hivi kuna Mnyakyusa gani aipe CCM kura? Ana mapenzi mema kweli?

Watumie wanyakyusa 10 ujumbe huu.
 
Mimi (mwanzisha thread) sitoki kabila hilo. Nilichofanya ni kutoa statistics ninazozijua.

Kama kuna mwingine anaweza kutoa similar stats kutoka another side of the country, why not? Azilete na kuzimwaga hapa jamvini ili tutengeneze comprehensive dossier ya ku-nail CCM!!
 
kyusas ni majasiri bwana wanauthubutu kama wakurya! sisi wachaga tunakwenda unafikiri sana maduka na biashara zetu kuziacha ndo maana tunakwenda step by step!
 
kwa hiyo na wewe umeuleta hapa???

Imran Kombe?
Chacha Wangwe?
Edward Sokoine?
Kigoma Malima?
Kolimba?
N.k n.k
 
Wakuu nimekutana na ujumbe huu ambao kwa takribani wiki nzima sasa unazunguka kwenye simu.
Hivi kazi ya TCRA ni nini? Huu si uchochezi wa wazi wazi wa kikabila?

Ujumbe huu hapa chini...
Hivi serikali ina shida gani na wanyakyusa?
1. Prof Jwani Mwaikusa alipigwa risasi nyumbani kwake.

2. Mwakyembe alipewa sumu,

3. Mwandosya alipewa sumu

4. Ulimboka kupigwa nusu kuuwawa

5. Daudi Mwangosi wa channel ten kauwawa.

Hivi kuna Mnyakyusa gani aipe CCM kura? Ana mapenzi mema kweli?

Watumie wanyakyusa 10 ujumbe huu.
Hii hatari nyingine imeanza kuibuka..
 
hizi ni kesi tu na ukitoa ulimboka amna aliesema wazi anataka kuuliwa. Inakuwa ni ushabiki wa kijinga-jinga. Ni sawa na kuangaika na mbwa anaebweka ukikasirika unammaliza we mwenyewe tu asibweke, tatizo kummaliza mbwa ni kumuazibu mwenye mbwa ambae ni mstaarabu na rafiki wa majirani wote. Inabidi uvumilie kelele za mbwa tena koko.
 
Tatizo ni wadhaifu ndiyo uchochoro wa kupitia kuwatishia watu wengine wenye misimamo kama wao.Wanafanyiwa vitendo vya kikatili vya karibu kutoa roho zao lakini wakishapona badala ya kueleza uma wa wananchi ni nini kiliwapata wanakuwa Kimya.Wacha wafundishwe adabu dhaifu wakubwa hawa.
 
hizi ni kesi tu na ukitoa ulimboka amna aliesema wazi anataka kuuliwa. Inakuwa ni ushabiki wa kijinga-jinga. Ni sawa na kuangaika na mbwa anaebweka ukikasirika unammaliza we mwenyewe tu asibweke, tatizo kummaliza mbwa ni kumuazibu mwenye mbwa ambae ni mstaarabu na rafiki wa majirani wote. Inabidi uvumilie kelele za mbwa tena koko.

Mkuu ujumbe unasambaa mtaani, na wengi wanaamini kinachosemwa
 
inawezekana eti?
Ndiyo uchochoro wa kupitia kutishia wengine wenye misimamo kama wao.Wanafanyiwa vitendo vikatili wakitibiwa wakishapona badala ya kueleza uma wa watanzania ilikuwaje wanakuwa kimya.Wacha wakomeshwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom