Acha Uvivu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 525
- 131
Emeseji eje janaloli nine nitike, twebanyakyosa twesa toboke kwa chadema ccm bagogi bakatogana oswe,
We Mnyaki koko.
Emeseji eje janaloli nine nitike, twebanyakyosa twesa toboke kwa chadema ccm bagogi bakatogana oswe,
Sasa nyie watu wa Mbeya mnabopoa raisi mawe halafu mnategemea nini? Pay back time sasa! Kwanza tulisahau, na umeme tutawakatia tena, miewzi miwili. Na uwanja wa ndege ule hatuumalizi ng'o!
Tokea mwezi uliopita nimebadili kabila, mie sasa Mpare.Mwaikambo - aliuwawa na serikali ya CCM
Jaji Mwaikusa - firing squad ya CCM ilikatiza maisha yake
Mwakyembe - ameponea chupuchupu kwa sumu ya CCM
Mwandosya - hali yake bado ni tete kwa sababu ya sumu "aliyolishwa" na CCM
Ulimboka - sina haja ya kusema
Mwangosi - hadi dakika hii sisi sote bado tunaugulia jeraha baada ya kufa in cold blood mikononi mwa CCM!
Jamani Wanyakyusa.....litakuwa ajabu la 8 la dunia kama mtaendelea kuwachagua wabunge na raisi kutoka chama "monster" kama hichi.
Wakuu nimekutana na ujumbe huu ambao kwa takribani wiki nzima sasa unazunguka kwenye simu.
Hivi kazi ya TCRA ni nini? Huu si uchochezi wa wazi wazi wa kikabila?
Ujumbe huu hapa chini...
Hivi serikali ina shida gani na wanyakyusa?
1. Prof Jwani Mwaikusa alipigwa risasi nyumbani kwake.
2. Mwakyembe alipewa sumu,
3. Mwandosya alipewa sumu
4. Ulimboka kupigwa nusu kuuwawa
5. Daudi Mwangosi wa channel ten kauwawa.
Hivi kuna Mnyakyusa gani aipe CCM kura? Ana mapenzi mema kweli?
Watumie wanyakyusa 10 ujumbe huu.
Mwaikambo - aliuwawa na serikali ya CCM
Jaji Mwaikusa - firing squad ya CCM ilikatiza maisha yake
Mwakyembe - ameponea chupuchupu kwa sumu ya CCM
Mwandosya - hali yake bado ni tete kwa sababu ya sumu "aliyolishwa" na CCM
Ulimboka - sina haja ya kusema
Mwangosi - hadi dakika hii sisi sote bado tunaugulia jeraha baada ya kufa in cold blood mikononi mwa CCM!
Jamani Wanyakyusa.....litakuwa ajabu la 8 la dunia kama mtaendelea kuwachagua wabunge na raisi kutoka chama "monster" kama hichi.
Mwaikambo - aliuwawa na serikali ya CCM
Jaji Mwaikusa - firing squad ya CCM ilikatiza maisha yake
Mwakyembe - ameponea chupuchupu kwa sumu ya CCM
Mwandosya - hali yake bado ni tete kwa sababu ya sumu "aliyolishwa" na CCM
Ulimboka - sina haja ya kusema
Mwangosi - hadi dakika hii sisi sote bado tunaugulia jeraha baada ya kufa in cold blood mikononi mwa CCM!
Jamani Wanyakyusa.....litakuwa ajabu la 8 la dunia kama mtaendelea kuwachagua wabunge na raisi kutoka chama "monster" kama hichi.
Badilisheni majina na kujihami kwa kusafiri mkiwa na silaha na mabodigadi vinginevyo hata mliomo humu jamvini CCM itawapelekamabwepande.Na yule dada aliyekuwa secretary wa Mwakyembe umemsahau, alikuliwa baada ya insue ya Mwakyembe kugundulika kawekewa sumu kwa njia ya sabuni na kwenda kuzikwa kwao Ipinda Kyela
Wakiuliwa wa kabila lako utaamka na huo utasema sio ukabila. Waache watu wapige kelele ndugu zao wanapouawa. Angalia suala la Mwangosi watuhumiwa ushahidi uko wazi kabisa, lakini wanampeleka mtuhumiwa mmoja mahakamani na wengine wanaendelea na kazi. Cha kusikitisha mtuhumiwa ana mtuhumiwa anapelekwa mahakamani kama mfalme!.Mkuu hoja za namna hii hazina mashiko. Ukabila na udini ni sumu
ni kweli ndomanya: meseji ina ukweli, amkeni usingizini hamieni CDM, Ccm haiwapendi!
Hii hatari nyingine imeanza kuibuka..
raisi sugu!mbeya ni nchi!!