Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
dola za kimarekani Sh. 16,400??
KUna dola sh. kweli?
dola za kimarekani Sh. 16,400??
KUna dola sh. kweli?
jamani haya ni mambo ya kifamilia yaacheni kweli familia hatujui mtu na mpenzi nini hasa kilichotokea watu wawili wanapokuwa wanaishi
pamoja na kuachana mambo mengi yanaibuka na mengi unakuta ni hasira za kuachana tu.
Nadhani anamaanisha dola za kimarekani ambazo thamani yake ni Tshs 16,400. Kwahiyo zitakuwa kama USD 10 more or less.
Viongozi wa CHADEMA woote wana asili ya ujambazi! Lema anajua hilo!
MTM mbona kuna sehemu nyingi hata wewe huwa unakosea, hebu angalia maudhui ya mleta habari kama ni material! Huyu jamaa nadhani amekosa shukrani kabisa akipigwa chini huko USA sitashangaa kama atakuja na kuomba msamaha kwa huyo demu!dola za kimarekani Sh. 16,400??
KUna dola sh. kweli?