Wanted: Diwani Rasta wa CHADEMA Arusha

Wanted: Diwani Rasta wa CHADEMA Arusha

Status
Not open for further replies.
Mkuu ni mkubwa kiumri hata maumbile yake ni makubwa sana umkimlinganisha na Rasta.Wakikaa pamoja utadhani Mama na mwanae.Hakuna ubishi aliyechangia kuharibu mahusiano yao ni Lema alipotangaza kwenye mkutano wa hadhara NMC kwamba Rasta hana chochote anafungwa na Dada yake ?.Dada magreth hakuchukua hatua zozote kuokoa uhusiano wake na Mpenzi wake Rasta hatima yake kaachwa anasingizia dola 16,400/=.Kampuni wanaimiliki pamoja Rasta katimkia US kaacha magari [Noah] asset za kutosha zenye thamani kubwa kuliko 16,400 bado haridhiki sana sana anachokufuata ni penzi lililoota mbawa.

Mkuu, kumbe huyu dada yake Lema, ni mkubwa kiumri kumzidi Kamada Rasta?
 
Mkuu ni mkubwa kiumri hata maumbile yake ni makubwa sana umkimlinganisha na Rasta.Wakikaa pamoja utadhani Mama na mwanae.Hakuna ubishi aliyechangia kuharibu mahusiano yao ni Lema alipotangaza kwenye mkutano wa hadhara NMC kwamba Rasta hana chochote anafungwa na Dada yake ?.Dada magreth hakuchukua hatua zozote kuokoa uhusiano wake na Mpenzi wake Rasta hatima yake kaachwa anasingizia dola 16,400/=.Kampuni wanaimiliki pamoja Rasta katimkia US kaacha magari [Noah] asset za kutosha zenye thamani kubwa kuliko 16,400 bado haridhiki sana sana anachokufuata ni penzi lililoota mbawa.

Kama ndio hivyo basi Kamada Rasta kachukua maamuzi magumu ya kishujaa nampa pongezi.

Huo mzigo ataubeba Lema kungilia penzi la dada yake, kingine sio vizuri kuwa na mausiano na wanawake wakubwa wanadumaza akili, Kamanda Rasta, kapumzike Marekani
 
View attachment 38945
Kati ya wale madiwani kadhaa wa Arusha waliovuliwa udiwani kuna Rasta mmoja aliyejipatia umaarufu kwa jina la Charles David Mpanda. Jamani diwani rasta wa Arusha kata ya Kaloleni kwa tiketi ya chadema ila kwa sasa amevuliwa uanachama na udiwani CDM na anatafutwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa wizi wa fedha tathlim USD 16,400/= alioufanya kwa dada Magreth ambaye alikua ni mchumba wake kabla na baada ya kuukwaa na kutoswa kwenye udiwani kata ya Kaloleni kupitia Chadema Arusha mjini.
Diwani Rasta aliyekua akiwakilisha kwa tiketi ya CDM kaloleni Arusha alikua ni mmiliki wa kampuni ya utalii jijini arusha kwa jina la AFRICAN ZOOM , Na dada Magreth ambaye alikua ni mchumba wa Rasta naye alikua akimiliki kampuni yake ya utalii kwa jina la TANGANYIKA ACCENT ROOT.
Baada ya kuanza uhusiano wa kiuchumba baina ya diwani Rasta na dada Magreth waliamua kuunganisha kampuni zao zote na kuifanya kampuni kuwa moja na kuitwa AFRICAN ZOOM & TANGANYIKA ACCENT ROOT na Diwani Rasta ndiyo aliyekua mteule wa kusign Cheque zote na kutoa pamoja na kupokea fedha zote ktk matumizi ya kampuni hii kupitia bank .
Baada ya diwani rasta kupigwa chini katika kiti cha udiwani wa Chadema kata ya Kaloleni Arusha hivi majuzi amemuibia mchumba wake USD 16,400 kwenye kampuni yao na amekimbilia Marikani leo hii. Dada Magreth amegundua kuwa diwani rasta ambaye alikua ni mpenzi wake kamuibia na ametorekea marekani na kimada wa kizungu baada ya kusikia kua jamaa alikua anaranda mitaani kumtafuta mtu wa kumkabithi gari ili asepe tena gari ambalo alipewa kwa ajili ya kutembelea na Dada Magreth kipindi cha kazi yao ya pamoja ya utalii. Nawakilisha .
N.B kama kuna muandishi wa habari mwenye shida ya kuwasiliana na Mchumba wa Diwani Rasta wa kaloleni Arusha na kumuhoji zaidi juu ya hili na kujua undani wa tukio hili la uwizi wa USD 16,400/= ani- PM.
Mpaka naondoka mitamboni mtaa wa SOWETO mkoani Arusha, dada Magreth aliyeibiwa pesa za kampuni na diwani rasta kwa sasa yupo safarini kuelekea Marekani kumkamata Rasta uyu aliyekimbilia huko baada ya kupata dada wa kizungu kwa jina la Pamela mkazi wa America .

Mjini shule.shamba ni kilimo.
Sasa mama huyo anajipya ni maswara ya kibiashara hayo mkuuu.?
Je Rasta huyo kwanini amwibiee dada huyo.?
Hisije kuwa kapigwa chini anageuza kibao kamwibia.?
J e vitabu vya bank anasaini nani kama siyo wote wenye kampuni.?
Mmama huyo kajiibia mwenyewe.?
 
USD 16,400 ni nyingi kiasi cha kumfanya alieibiwa asafiri hadi Marekani?
 
Mdada akipata mzungu tunasema kaukata na mkaka akipata mzungu nae kaukata?
 
Duh hatari kubwa jamaa kanogewa penzi hadi kanyoa rasta.Halafu Magreth ana wivu mbaya yeye ndiyo source ya hii picha ahaaa hadi rahaaaa.

hivi penzi limeanza kuwa na umri tangu lini? kipendacho roho chakuumia nini kwa Rasta kumpenda mzee magreth? tunajua mama kampa nini Rasta? hebu tuache kujadili umri tujenge hoja dhidi ya tuhuma za udanganyifu wa fedha kwa mpenzi wake kama zina mshiko au la.
 
mama wa kizungu naye ni mkubwa kwa Rasta angalia picha, inaonekana Rasta anapenda wanawake wenye umri zaidi yake.....hili sio kosa ni kosa kutumia mgongo wa penzi kuiba

Duh hatari kubwa jamaa kanogewa penzi hadi kanyoa rasta.Halafu Magreth ana wivu mbaya yeye ndiyo source ya hii picha ahaaa hadi rahaaaa.

MODS tafathali naomba muifunge hii thread. Iwekeni kufuli kabisa tafathali. PAW na Invisible nime waPM shuhulikieni hili tafathali.
 
Duh kisheria sioni kwamba kamuibia hizo dollar labda tuseme kamuibia nusu ya hizo, sababu kama walikuwa kwenye mahusiano na wanashare kampuni wote basi na yeye ana haki ya kiasi fulani ya assets za hio kampuni...

Hivyo basi namshauri huyo dada aachane nae kama assets ambazo zimebaki ni nyingi kuliko hizo pesa alizochukua.., kuliko kuanza kupelekana mahakamani na kufaidisha watu na mwisho wa siku huenda huyo dada akaloose zaidi..

Amtafute tu wagawane mali na kusolve hii issue nje ya mahakama
 
Mbu Sugu.

Mdada wa Kithungu ni kabinti kadogo sana sema anapenda kula mnyama wa taifa.

Back
Top Bottom