Ahaaa Nyambala ulijuaje kwa vyovyote utakuwa umerithi mikoba ya Sheikh Yahaya, taarifa za uhakika Magreth ni Dada yake Godbless Lema Rasta kamkimbia kachota kimwana wa Kithungu kaamua kuachana na siasa zenu za maji taka bado mnamfuatilia.
Uhusiana wa Rasta na Magreth ulianza kuaribika baada ya Lema kumkashfua adharani kwamba anafungwa na dada yake [Magreth] Rasta kama mwanaume alimtaka akanushe habari za kizushi ili urafiki wao uendelee lakini wapi.
Penye ukweli tuseme kweli Magreth ni mkubwa sana kiumri kamzidi Rasta zaidi ya miaka kumi na tano/ Ishirini.Hivi ni kwanini asitafute mzee wa umri wake mwacheni Rasta ajirushe na vijana wenzake.