Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Yani pesa zikufanye uolewa na MTU hata kupapasa hawezi? Hapana .
Ushamjaribu? Hamna jeuri ya kukataa mwenye pesa, labda wenye senti. Utakubali kuolewa then utajiongeza. Huwezi kukataa $1m assurance
 
Ndoa ya kikristo hainaga talaka....
TALAKA hutolewa mahakamani na sio kanisani... mami kasema haina talaka.....ndoa kibao za kikrisrto zinabatilishwa mahakamani..........hata ya Mengi ilishaabatilishwa kitambo, ila walikuwa na makubalian maalum....na mke mkubwa...
 
We marry for different reasons. Wengine tunaolewa kwa sababu tunaamini bila ndoa hatujakamilika, wengine umri umeenda, wengine tunatafuta financial security, wengine wamependana etc. As long as waoanaji wameridhiana, who are we to judge? Mama twins aliyempendea Mzee hela, nani aliyempendea mumewe umaskini?
Afu dunia hii kuna mwanamke gani ambaye angeolewa na Mengi (apart from his 1st wife) na isionekane kafuata hela? Mama twins ana bahati, alipendwa na mzee and he respected, appreciated and honored her. Vitu ambayo pengine hata hawa wanaume zetu tuliowapendea umaskini wao can't offer us. Mzee ameishi maisha yake na mama twins na ameyaenjoy; kazi kwetu tuliobaki.

Afu wengine tuna guts za kumuita mama twins gold digger kisa mzee alikuwa na ukwasi; tunajisahaulisha wengine tulivyoenda kwa bae siku ya kwanza na kukuta ana sub woofer, friji na tv, tukaona maisha ndo haya. Baada ya siku kadhaa tukahamishia kabisa na mizigo yetu na kubeba na mimba juu teh; ndoa itakujaga Wengine nyumbani maisha magumu so unahamia kwa mwanaume ili upunguze ukali wa maisha; what should we call that? Tusihukumu

Back to your question; naamini wapo wanawake ambao despite ukwasi wa Mzee; bado wangekataa kuolewa naye kwa sababu zenye mashiko kwao. We are diverse
umetishaa mkuu, nakumbuka kuna demu aliolewa chuo kisa kajamaa kana kakazi na geto kuna subwoofer etc. tumemaliza chuo demu kuona amebugi as colleagues aliokuwa anawadharau chuo wana better prospects na kazi akaanza kuachia. now ameshaachana na jamaa
 
umetishaa mkuu, nakumbuka kuna demu aliolewa chuo kisa kajamaa kana kakazi na geto kuna subwoofer etc. tumemaliza chuo demu kuona amebugi as colleagues aliokuwa anawadharau chuo wana better prospects na kazi akaanza kuachia. now ameshaachana na jamaa
Umeona sasa. Huyo alipenda getto lakini haitwi gold digger
 
Back
Top Bottom