ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,372
- 118,772
Wivu mkuu, ila pia naamini wanawake wa kichaga wengi wana hasira na Jackie.Mimi nashangaa sana huyu dada anavyopondwa.
Wivu mkuu, ila pia naamini wanawake wa kichaga wengi wana hasira na Jackie.Mimi nashangaa sana huyu dada anavyopondwa.
Kwahio wewe unaona sawa kuwa mchepuko ila kuolewa bomani au style ingine sio sawa?Swali zuri sana!
Kama unaakili vizuri binti wa umri ule huwezi kukubali kuolewa na mtu ambaye ameshaoa tayari na unajua kabisa ndoa ya kikristo ni moja...angekuwa mchepukoi permant basi lakini si kuolewa....
So kama alifuata mali hilo linawezakana pia.
Pesa is everything Agatha..Inahitaji moyo kuishi na kibabu .
Pasua kichwa, inawezekana kabisa hela tungezipenda; lakini mwingine angekataa tu kwa sababu ya age difference n.kYeah kwa JF nawaelewa, hamna hata mmoja angeolewa kwa pesa. You are all very perfect decent ladies.
Kabla ya k-Lyn mengi alikuwa anatoka na madame ritta ......Si kwa Tanzania hii, wacha uwongo.
Wengine tupo vizuri....Kwenye keyboard.
nakubaliana na wewe, huyo ambae angekataa hela kwa sababu nyingine huku mtaani sijamuona. Jf najua mpo wengi, almost wote.Pasua kichwa, inawezekana kabisa hela tungezipenda; lakini mwingine angekataa tu kwa sababu ya age difference n.k
Kwendraaaaaaanakubaliana na wewe, huyo ambae angekataa hela kwa sababu nyingine huku mtaani sijamuona. Jf najua mpo wengi, almost wote.
Kwahiyo jack kafwata pesa sio mapenzi?Pesa is everything Agatha..
Yani pesa zikufanye uolewa na MTU hata kupapasa hawezi? Hapana .Wewe unafikiri angeombwa na babu yako kijijini angekubali kuolewa? Mimi tu angeniambia mzee wewe sikutaki!
Muda wa kufuturu agiza juice ya tende nitakuja kulipa.We marry for different reasons. Wengine tunaolewa kwa sababu tunaamini bila ndoa hatujakamilika, wengine umri umeenda, wengine tunatafuta financial security, wengine wamependana etc. As long as waoanaji wameridhiana, who are we to judge? Mama twins aliyempendea Mzee hela, nani aliyempendea mumewe umaskini?
Afu dunia hii kuna mwanamke gani ambaye angeolewa na Mengi (apart from his 1st wife) na isionekane kafuata hela? Mama twins ana bahati, alipendwa na mzee and he respected, appreciated and honored her. Vitu ambayo pengine hata hawa wanaume zetu tuliowapendea umaskini wao can't offer us. Mzee ameishi maisha yake na mama twins na ameyaenjoy; kazi kwetu tuliobaki.
Afu wengine tuna guts za kumuita mama twins gold digger kisa mzee alikuwa na ukwasi; tunajisahaulisha wengine tulivyoenda kwa bae siku ya kwanza na kukuta ana sub woofer, friji na tv, tukaona maisha ndo haya. Baada ya siku kadhaa tukahamishia kabisa na mizigo yetu na kubeba na mimba juu teh; ndoa itakujaga Wengine nyumbani maisha magumu so unahamia kwa mwanaume ili upunguze ukali wa maisha; what should we call that? Tusihukumu
Back to your question; naamini wapo wanawake ambao despite ukwasi wa Mzee; bado wangekataa kuolewa naye kwa sababu zenye mashiko kwao. We are diverse
Tena apotee kabisaa 😀 😀 😀 sijui wadada wa jf tumewakosea nini hawa viumbe.Kwendraaaaaaa