Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Hakuna anaepibga kuolewa kwake ila ni care aliyompa mzee na haya yanayosemwa ndiyo huleta ukakasi.
Bruce Forsyth alimuoa miss Puerto Rica alikua 25 yrs her senior age wise. Lakini ali mtunza mzee mpaka alipoaga dunia akiwa na 89. Wala hakuna anaemuita yule dada gold digger.

Katika maoenzi age is just a number.
 
A million question. Na ukitaka kujua wasingekataa wasome wote wanajadili mgao wa mali. Means hiyo ndiyo aim yao kubwa kuhusu ndoa kwa Mtu aina ya Mengi!! Kwa hiyo jibu lipo wazi kabisa.
Na mjadala wa mali umeegamia kwenye kutamani Klyn asipate kitu!
 
Sawa dada!
Mimi pia napenda sana maisha mazuri sana jamanii ila kwa Mzee Mengi HAPANA dada!
ha ha ha eti HAPANA kwa herufi kubwa....mimi nimekuelewa KIUTUZIMA
 
Back
Top Bottom