ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,362
- 118,739
Ngoja nitafute hela nitakuja, na uzee huu huchomoiHuamini eti eeehh..
Kiukweli mimi napenda sana maisha mazuri wewe mpendwa lakini hilo haliwezi nifanya niolewe na yoyote mwenye mahela!

Ngoja nitafute hela nitakuja, na uzee huu huchomoiHuamini eti eeehh..
Kiukweli mimi napenda sana maisha mazuri wewe mpendwa lakini hilo haliwezi nifanya niolewe na yoyote mwenye mahela!

Asante mkuu na wewe umeliona hilo, nilipo hapa nimezungukwa na wachaga, seriously wana hasira na Jackie coz mali za mzee zitaenda kwa mtu baki. Wasijue kuwa Jackie kazaa na mzee, alikuwa analala uchi na mzee, she knows better than every chagga out there...Na wako bitter kweli, na wame-dragg issue iwe ya Klyin na hujuma dhidi ya Mzee wetu wa Kichaga. Mali ya Mengi imegeuka ya Kabila...hahahaaa
Mkuu mie Hadi najihisi kukosa amani siku hizi tulizovurunda!ushabiki wa hivi itabidi nipunguze aisee ntakuja kukwama Mambo mengine huko mbele ya safari coz sioni tumaini hivi karibini.Im number one Man Utd fan. GGMU
Inastaajabisha sana ujuwe, mzee kaona wanawake kibao tena wengine watu wazima kabisa lakini kaamua kuwa na Jackie, na kuna sehemu nasikia alisema Jackie was the best thing that happened to him, na anatamani wakutane tena katika maisha mengine.
Who are we to judge, na kwa nini huyo dada aonekane yeye ndio mbaya..
Hakuna mtu asiyependa maisha mazuri jamani, eti sisy darling![]()
hahaa basi na mimi sikujibu, ufurahi vizuriWewe je ungevaa viatu vya Klyn ungekataa? Usijibu, jibu ninalo😀😀😀😀😀😀😀
Kwa hiyo wanazengo walitakaje labda? Walitaka waseme marehemu hakuwa na mke au..?Weee nani anapenda shida?
Wengine ooh kwa nini Jacky aliingilia familia ya watu, jamani kwani Jacky ndo aliyewaachanisha? Afu kwa nini hawakumshauri basi mzee asioe tena ; maana yeye mwenyewe ndo aliamua kumuoa Jacky. Basi sasa hivi itakuwa hata kuolewa na single dad/mom ni kuingilia na kuvunja familia ya watu; wenyewe wakishindwana waendelee tu kubaki single walee watoto
Nimecheka jamani eti Jacky hakualikwa kwenye msiba wa mama Mercy; kwani kuna ulazima wa kwenda kwenye msiba wa ex wa mume wako? Me binafsi hata kama ndo ningealikwa, nisingeenda, ningewaacha waomboleze kwa amani tu. People are so bitter, hapa hawaamini kama Jacky na wanae wamepewa heshima kiasi kile; of course they deserve it; ni familia ya mzee na kama yeye mwenyewe aliiheshimu, nani wa kupinga?. Wanaishia tu kutoa kasoro, ooh Jacky halii sana, utafikiri waliambiwa Jacky ni mnyakyusa, (kwa kulia hatujambo)
Me mwenyewe siwaelewi; ila nahisi walitaka Jacky na wanae wasiruhusiwe kuwepo msibani; na sielewi ni kwa misingi ipi. Ila binadamu tunatia aibu jamani; mali za ndugu zetu zinatutoa roho mweeh.Kwa hiyo wanazengo walitakaje labda? Walitaka waseme marehemu hakuwa na mke au..?
Hahaaa yani mume anipite miaka zaidi ya 30? Nachomoa ..Ukweli anaujua yeye, huenda pesa au upendo. Ila hata ingekuwa wewe mbele ya bilionea huchomoi Agatha![]()

watanzania na sie tukiamua kuchekesha. Ikitokea Mengi anaamka hapa hakika hawezi kutuelewa. Umesema mali za ndugu yetu? Hahaha hivi sisi ambao roho zinatutoka tuna hata undugu na marehemu?
Me mwenyewe siwaelewi; ila nahisi walitaka Jacky na wanae wasiruhusiwe kuwepo msibani; na sielewi ni kwa misingi ipi. Ila binadamu tunatia aibu jamani; mali za ndugu zetu zinatutoa roho mweeh.
Ndio maana nikauliza, hawa wanaomuona Klyn golddigger wangepata hio nafasi wangechomoa? Kwa chuki wazoonesha,sidhani.Weee nani anapenda shida?
Wengine ooh kwa nini Jacky aliingilia familia ya watu, jamani kwani Jacky ndo aliyewaachanisha? Afu kwa nini hawakumshauri basi mzee asioe tena ; maana yeye mwenyewe ndo aliamua kumuoa Jacky. Basi sasa hivi itakuwa hata kuolewa na single dad/mom ni kuingilia na kuvunja familia ya watu; wenyewe wakishindwana waendelee tu kubaki single walee watoto
Nimecheka jamani eti Jacky hakualikwa kwenye msiba wa mama Mercy; kwani kuna ulazima wa kwenda kwenye msiba wa ex wa mume wako? Me binafsi hata kama ndo ningealikwa, nisingeenda, ningewaacha waomboleze kwa amani tu. People are so bitter, hapa hawaamini kama Jacky na wanae wamepewa heshima kiasi kile; of course they deserve it; ni familia ya mzee na kama yeye mwenyewe aliiheshimu, nani wa kupinga?. Wanaishia tu kutoa kasoro, ooh Jacky halii sana, utafikiri waliambiwa Jacky ni mnyakyusa, (kwa kulia hatujambo)
ile ya Mengi ilikufa mama alipokufa ,ya Jack haikuhitaji kanisa ,ilifungwa kwa kuisgi chini ya paa moja Kama mke mwaka mmoja hiyo ni ndoa halali,Hivi wakati mengi anamchukua na kufunga naye kinachosadikika ni ndoa nje ya nchi...Je!! ile ndoa ya awali aliyokuwa amafunga kwa taratibu za kikristu ambayo ni ndoa ya mke mmoja na mme mmoja isiyotenguliwa hadi kifo, je ndoa hiyo ilitenguliwa na nani wkati mke halali wa mengi alikuwa bado hai?
Huchomoi hakika nakuambiaHahaaa yani mume anipite miaka zaidi ya 30? Nachomoa ..

Neno n moja tu huwez kushindana na mwenye Kinywa wataongea weee wakichoka wataacha na maisha yataendelea kwan Mengi s alioa kwa hiar wangap wanadanga na babu zaoHuyu dada anashambuliwa sana kwa kuolewa na Marehemu Mengi, kwamba kafuata hela,golddigger etc. Sasa najiuliza hawa wanaomponda(wanawake) ni wangapi wangepata proposal ya kuolewa na late Mengi wangekataa? Ni wanawake gani hao Tz hii wangefanya kinyume na Klyn?
niachee.....😀😀😀😀 roho za vibabu zipite mbali.Huchomoi hakika nakuambia![]()
Hata mimi nadhani ile outing yangu nadhani itafeli, manake agata edward atakuwa mdogo sana.Futa lile wazo la kuolewa na mimi.
Mkuu wewe ni lawyer wa marehemu?ile ya Mengi ilikufa mama alipokufa ,ya Jack haikuhitaji kanisa ,ilifungwa kwa kuisgi chini ya paa moja Kama mke mwaka mmoja hiyo ni ndoa halali,
Tunachomlaumu na kumshangaa dada jaqline ni kutaka 50% ya Mali,atambue nusu ya Mali ni za mama Mengi na walithi ni abigael na Regina ,nusu inayobaki ni ya Mengi walithi ni hao wawili na wadogo zao hivyo Regina na abigael wanabeba 75 per kylin 25% ambayo jamani ni 100mil USD kwa mujibu wa Forbes ,Sasa Hawa mabush lawyer wanamdanganya apambane apate nusu jamani wamachame watamuua yy au watoto achukue fair yake akae kimya
Wanaosema hivyo utafikiri kwao wapo clean! Ila mali kitu ingine bana. Unaweza kushangaa hata Wanafamilia waliokuwa wanamheshimu sana Mengi ghafla leo wanatengeneza 'timu' ya maangamizi ili binti asipate kitu. Hata hii 'blackmail' nayoiona ni kazi ya 'ndani'Asante mkuu na wewe umeliona hilo, nilipo hapa nimezungukwa na wachaga, seriously wana hasira na Jackie coz mali za mzee zitaenda kwa mtu baki. Wasijue kuwa Jackie kazaa na mzee, alikuwa analala uchi na mzee, she knows better than every chagga out there...